Etii .."abdallah kichwa wazi"... [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38] ukavua nguo mbele yao[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu uliliwa wewe hapo kimasihara hahaha


Alexander The Great
 
Lete khabari yaani circumstance hadi ukala tunda la mama mwenye nyumba.
kifupi sana.
nikiwa chuo mwaka wa 3 COET katika jiji letu pendwa dar.nikaamua kupanga nje kuzoea maisha mapema ili after scul nisiteteleke.
mimi vs mama mwenye nyumba
katika harakati za kutafuta chumba nikafanikiwa kupata maeneo sinza africa sana.ikanibidi kumsubiri mama mwenye nyumba kwakuwa alitoka kidogo.
sikuamini macho yangu kukutana na mwamama wa kihaya mwenye nyumba aliyenona kiasi kile miguu minene iliyojaa kidogo kwa juu,nyuma sasa ni hatari vijana wa kileo wanasema anajambia manzese,kipini puani hadi ulimini umri 45-50 hivi ukizingatia ni muda mrefu sikuwa nimeiona ile kitu inayomesaga mwenzie misuli heavy ya COET nilishusha pumzi nzito.nilisisimka zaidi pale nilipokuwa namkabidhi mama mwenye nyumba pango la miezi 6 alifurahi sana na wakati nampa alinibinya mkono kwa dole gumba sikuelewa kabisa aisee niliona kama ndoto na aliniletea taharuki moyoni.
itaendelea..
 
We fala hebu njoo umalizie hiyo stori ...[emoji3][emoji3][emoji3] ulikula mavi wewe aise aise .... Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SO EMETIONAL.....Hapo Nora alipokuwa theather na muda wa kutoa taarifa nililia au nililengwa machozi pamenigusa sana....alimsaidi asana huyo binti na ni sawa tu KM kumrithi huyo binti
Pole kiongozi. I hope umeimaliza story yote kule kwenye jukwaa la entertainment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uwe mwandishi, una maneno kuntu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…