Puppy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,995
- 2,539
Smart AnswerMkuu unadhani gari ni kitu cha kujitangazia basi...
Bahati nzuri siwezi kutembea na horse ya Howo au DAF ila pia ninazo ukitaka naweza nikakupa lifti na hizo pia hata wewe.
Ukiwa masikini siku zote haungalii maudhui ya maada bali unaangalia kile ambacho hauna ili kwa roho ya kwanini.
Wakati wako ndio huu mkuu jitume tu nawe utakuja kutupatia stori zako za gari lako binafsi sio zile za bodaboda au daladala.
Karibu tena mkuu.
sent using Simenzi mayai
Sent using Jamii Forums mobile app