huyo malaya aisee itakuwa mnaendelezaa wife akija juaa je

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Malaya kweli Kila asubuhi nikienda kuoga lazima nimkute bafuni(si unajua nyumba ya kupanga vyoo vya umma) namla ...Ila ana pigo za kukuhonga yy.... maana Kuna siku niliuza mechi nikalala nje nikasingizia nipo msibani shoo zote aligharamia yy!...wife alijua si unajua shilawadu Kila Kona
 
Mkuu hii chai 2009 kulikuwa na gari za new force

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikawaje wife alipojua??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah Nyie madogo wa kutoka ileje ,mbozi na mbaralj mlikuwa.washamba sana pale camp [emoji1787][emoji1787]

Mmeacha sana watoto kule mabafu ya Mugabe,nyerere,kawawa na luthuli [emoji3]

Anyway Mimi nilipita pale form 4 wa mgaya [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikua na mechi kati ya timu ya shule yetu n shule jirani..! Mpira ulipoisha dada flan tulikua darasa moja akanifuata n kunipa pole kwakua kilikua kigiza giza nikajaribu kuomba mate nikapewa[emoji2211][emoji2211]. Kilichofuata n kwenda moja kwa moja ghetto kwa bro flan tukalana ile asubuhi wenzetu wanakimbia mchaka mchaka tukajiunga nao. Bas na story ikaishia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, kuna uwezekano wa kuona kwamba ni raha, lakini si sana.
Raha ni pale unapomkuta yupo timamu, hakuna msongo wa mawazo unaomkabili.

Hapo ndio safi sasa.

Otherwise, ni sawa na kusema umemuua simba, wakati alikua hatua za mwosho kufa baada ya kujeruhiwa na silaha. Huwezi kuonekana shujaa, na ikotokea ujipe kujiona shujaa, basi unakua 'unajikosea' heshima mwenyewe.
 
Hahaha Mimi nilikuwa mjanja aisee... Nikitokea bweni la LUMUMBA chemba moja tuliita maghorofani... Nilikuwa na mafundi akina George Gambi, Selemani Ayubu (mwandishi wa gazeti la shule) na wengine kibao
 
Mkuu hii chai 2009 kulikuwa na gari za new force

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha zilikuwepo Tena kampuni ndio ilikuwa mpya kabisa na ilikuwa inapambana na mabasi fulani yalikuwa yana rangi ya bendera ya Marekani yalikuwa yanaitwa American Passengers ingawa kipindi hicho mabasi maarufu yalikuwa ni Hood na Abood... Next time uje vizuri sawa!!!!
 
Kama hujui bora ukae kimya tu. Usikute miaka hiyo ulikua bush wewe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari nimemjibu kwa uzuri kabisa, huenda enzi hizo alikuwa bush huko. Hiyo time New Force ilikuwa ndio inaanza na ilikuwa inakula ligi na mabasi fulani yalikuwa yana rangi ya bendera ya Marekani yalikuwa yanaitwa American Passengers... Though kampuni kongwe zilikuwa ni Hood na Abood
 
Hekima

Sent using Jamii Forums mobile app
 

We jamaa umejiunga jana ili uje na huu ushauri humu?

Sijaona kama kuna mtu kazungumzia ushujaa humu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…