Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,139
- 1,301
Kama hujui bora ukae kimya tu. Usikute miaka hiyo ulikua bush wewe!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui bora ukae kimya tu. Usikute miaka hiyo ulikua bush wewe!!!
Aliniuliza nikakataa coz amna hajawahi kutufuma live....Ila toka kipindi io Ni heshima na adabu na upendo umeongezeka mno

. Kilichofuata n kwenda moja kwa moja ghetto kwa bro flan tukalana ile asubuhi wenzetu wanakimbia mchaka mchaka tukajiunga nao. Bas na story ikaishia hapo Hahaha Mimi nilikuwa mjanja aisee... Nikitokea bweni la LUMUMBA chemba moja tuliita maghorofani... Nilikuwa na mafundi akina George Gambi, Selemani Ayubu (mwandishi wa gazeti la shule) na wengine kibaoHahahahah Nyie madogo wa kutoka ileje ,mbozi na mbaralj mlikuwa.washamba sana pale camp
Mmeacha sana watoto kule mabafu ya Mugabe,nyerere,kawawa na luthuli
Anyway Mimi nilipita pale form 4 wa mgaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha zilikuwepo Tena kampuni ndio ilikuwa mpya kabisa na ilikuwa inapambana na mabasi fulani yalikuwa yana rangi ya bendera ya Marekani yalikuwa yanaitwa American Passengers ingawa kipindi hicho mabasi maarufu yalikuwa ni Hood na Abood... Next time uje vizuri sawa!!!!
Tayari nimemjibu kwa uzuri kabisa, huenda enzi hizo alikuwa bush huko. Hiyo time New Force ilikuwa ndio inaanza na ilikuwa inakula ligi na mabasi fulani yalikuwa yana rangi ya bendera ya Marekani yalikuwa yanaitwa American Passengers... Though kampuni kongwe zilikuwa ni Hood na AboodKama hujui bora ukae kimya tu. Usikute miaka hiyo ulikua bush wewe!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
HekimaTayari nimemjibu kwa uzuri kabisa, huenda enzi hizo alikuwa bush huko. Hiyo time New Force ilikuwa ndio inaanza na ilikuwa inakula ligi na mabasi fulani yalikuwa yana rangi ya bendera ya Marekani yalikuwa yanaitwa American Passengers... Though kampuni kongwe zilikuwa ni Hood na Abood
Sawa, kuna uwezekano wa kuona kwamba ni raha, lakini si sana.
Raha ni pale unapomkuta yupo timamu, hakuna msongo wa mawazo unaomkabili.
Hapo ndio safi sasa.
Otherwise, ni sawa na kusema umemuua simba, wakati alikua hatua za mwosho kufa baada ya kujeruhiwa na silaha. Huwezi kuonekana shujaa, na ikotokea ujipe kujiona shujaa, basi unakua 'unajikosea' heshima mwenyewe.
Mkuu hivi hii hali ni ugonjwa au ni kawaida tu maana hii hali nina i experience sana.Tokea nizaliwe sijawahi fanya mapenzi na mwanamke nikapiga vitatu. Naishiaga viwili yani tena hicho cha pili kukipata ni kazi kubwa sana. Nnaweza fanya mapenzi hata masaa matatu bila kukojoa...
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hata mimi kuna safari moja ya kahama Dar mtoto kinanda kweli kweli nikasema yes yupo charming ila baba utafikiri jamaa ake ana gps kila panapokuw na network yuko hewani yani mpaka tunafika singida doooh nilikuwa na power bank akaniomba nikaona usenge huu nikamwambia haina charge
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka 2009 nilipanda new force tena modern zao zilikua na quality ya hali ya juu huduma muruaaaTayari nimemjibu kwa uzuri kabisa, huenda enzi hizo alikuwa bush huko. Hiyo time New Force ilikuwa ndio inaanza na ilikuwa inakula ligi na mabasi fulani yalikuwa yana rangi ya bendera ya Marekani yalikuwa yanaitwa American Passengers... Though kampuni kongwe zilikuwa ni Hood na Abood
Huyo dada ana brevis ya Silver ana Pub Makole CBE .Huwa anakuwa na rafiki yake wa kike anafanananae kimuonekano
She is a professional kanga alikuonea huruma akakupa mzigo
Daah New Force walikuwa vizuri mabasi yao yalikuwa classic. Nakumbuka likizo fulani wanafunzi walienda kuchukua kitabu cha ticket cha Newforce, ikaonekana Basi zima watapanda wanafunzi tu... Uongozi wa Newforce ukaamua kuhamishia wanafunzi wote kwenye Abood cause wanafunzi wangeweza kupiga machata kwenye siti... Wanafunzi walikasirika balaa ila wakapanda Abood hivyo hivyo ila Sasa huko njiani hawakutaka kupangiwa maisha walikuwa wanapanda na viatu kwenye sitiNakumbuka 2009 nilipanda new force tena modern zao zilikua na quality ya hali ya juu huduma muruaaa
Sent using Jamii Forums mobile app