na pale katikakati ya uwanja A&B. kuna washenzi wengine walikuwa wanaenda kujipigia hadi mama tekla yule muuza wali kule sokoni
 
Dah! uboyzin tabu sana, unapopata free lunch kama hiyo lazima uenjoy aisee.. hakika hiyo likizo ilizaa matunda na ndomana mpaka leo ukawa mtaalamu wa physics na maths[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichokijua wale polisi walikuja kwa hisani ya huyo dada, na ndiyo waliyomhakikishia Usalama wake kwako. Usingemkimbia ungefaidi Kama KigaKoyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada ana brevis ya Silver ana Pub Makole CBE .Huwa anakuwa na rafiki yake wa kike anafanananae kimuonekano

She is a professional kanga alikuonea huruma akakupa mzigo
 
Unajua bahati huwa zinakuja kitofauti sana na huwezi jua kuwa hii ndo bahati yangu, ila ukishaipoteza nafasi ndo unakumbuka aaaaah, ukitaka kurudi tayari unakuta ushacelewa, haiwezi kujirudia tena hiyo mkuu kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…