Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,366
- 12,356
Wewe utakuwa umekula Bata kimasihara Mkuu!!UKIPITWA NA HII HUNA HAJA YA KUSOMA SHUHUDA ZOZOTE ITAKUWA AINA MAANA TENA TUNAKUJA KUZIMA NA KUFUNGUA TENA NAONA KULIPOA SASA KWA HISANI YA WANA NITASHUSHA KITU ILI MAMBO YAWE SAWA .............MWAMBIE NA MWENZIO MIKITO MIKITO KARUDI NA ANASHUSHA KITU .....
KAMA UNA MKATE ANDAZI CHAPATI NJOO NAYO CHAI IPO YA RANGI NA MAZIWA
KAMA NI MTU WA KUAMINI BASI BAKI NA MIMI MPAKA MWISHO NA ENDELEA KUAMINI .......
Mkuu sina ufahamu kabisa kuhusu mambo ya afya zaidi ya kujua huwezi ambukizwa hadi upate michubuko, ilikua inatokea mara kadhaa najilaumu kula kavu baadhi yao lkn nikishakua kwenye tukio nasahau yote nakula tena kavu,Duh hadi kwa wale malaya wa ambiance ulikuwa unaenda kuomba ugonge ngozi kavukavu? Nahisi health status yako utakuwa unaijua mkuu,sidhani na ntakuwa wa mwisho kuamini mtu anaweza kuwa na ujasiri wa kuendekeza dry kwa stranger na asiwe muumini kbsaaa wa ndomu ilihali awe haijui health status yake,nahisi mtu wa jinsi hiyo ni lazima awe anaijua situation yake ya afya ikoje ndo maana wengine ndom wanaweka kipaumbele labda itokee tuu
Na kila mtu ana ujasiri wake mkuu usije kuiga tu, ktk maisha yangu yote ya kula papuchi sijawahi ugua ugonjwa wa aina yoyote ile sehemu za siri hata kuwashwa tu kwa masaa, sijisifu ila ndio ukweli nahisi imechangia kuzidi kunipa ujasiri wa kula kavu hadi leo.Duh hadi kwa wale malaya wa ambiance ulikuwa unaenda kuomba ugonge ngozi kavukavu? Nahisi health status yako utakuwa unaijua mkuu,sidhani na ntakuwa wa mwisho kuamini mtu anaweza kuwa na ujasiri wa kuendekeza dry kwa stranger na asiwe muumini kbsaaa wa ndomu ilihali awe haijui health status yake,nahisi mtu wa jinsi hiyo ni lazima awe anaijua situation yake ya afya ikoje ndo maana wengine ndom wanaweka kipaumbele labda itokee tuu
Inaeleweka sawa Ila huyo G si ndo anasema alimpa tunda ye binti akiwa Bikra. Hafu akamdithi kwa alikuwa kibamia wakati kapiga shuti mpaka nyavu zikachanika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome tena uzi wake upya mkuuInaeleweka sawa Ila huyo G si ndo anasema alimpa tunda ye binti akiwa Bikra. Hafu akamdithi kwa alikuwa kibamia wakati kapiga shuti mpaka nyavu zikachanika
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, ni kwl kabisa mkuu kifo hakikwepeki unaweza ukajitunza na ndom ukafa na bodaboda n.kMkuu sina ufahamu kabisa kuhusu mambo ya afya zaidi ya kujua huwezi ambukizwa hadi upate michubuko, ilikua inatokea mara kadhaa najilaumu kula kavu baadhi yao lkn nikishakua kwenye tukio nasahau yote nakula tena kavu,
Yaani mimi kuliko kula na ndomu bora nipige selfie,
Kwenye habari ya kupima hofu lazima iwepo, nshawahi kimbia majibu pale lidas miaka flani lkn baada ya kuoa ikawa kupima haikwepeki mambo ya clinic.
Na nshawahi kuuguza adi kufa mama yangu mdogo kwa uo ugonjwa alikua bonge lkn alikufa akiwa km mtoto wa miaka 10,
Nikiwa na akili zangu kawaida nahisi kauoga flani hivi, lkn nkishakutana uso kwa uso na K najisemea NIWE NAO NISIWE NAO NTAKUFA TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu huwa anakomaa kafanikiwa
Huwa anahisi humu ndani umri wetu ni sawa na yule mtoto wa dadaake wa mwishomwenye miaka miwili.
😂 😂Najua utakuja na kula tunda kimasihara ya maiti tunakusubiri
AiseeNyie mgeoana tu na hance maana wote ni wambea tu sijui huwa mnafata nini tu kwenye huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
kukubali dinner ni kama kashakubali, mpige na wine kidogo, au kwakua kashatolewa dinner kibao we yakwako ifanye iwe unique lazima dozi imuingie ajikute yupo on bed with you, wanawake wanapenda supprise...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kapime mpwa ila kimoja tu umesahau karma, mpwa ogopa sana kutembea na mke wa mtu kwa hayo yoote uliyo yafanya hakika utayalipia na kama si wewe baasi ni watoto wako so jiandae , kumbuka hadith ya Akan na wana wa Israel,nina miaka kadhaa hapa ila kiukweli hawa wamebarikiwa1. Nimekula kimasihara demu ndani ya basi la mkoani
2. Nimekula kimasihara mdada niliekutana nae church kwenye ibada
3. Nimekula kimasihara mke wa boss wangu
4. Nimekula kimasihara mama mwenye nyumba na mtoto wake
5.Nimekula kimasihara stranger tu,nilimpa lift ya gari kipindi mvua inanyesha
6. Nimekula kimasihara jirani yangu
7. Nimekula kimasihara mdada wa mpesa
Aya weekend hii,semeni wenyewe nianze na ipi kati ya izo hapo juu
Dah ndugu muombe sana MunguMkuu sina ufahamu kabisa kuhusu mambo ya afya zaidi ya kujua huwezi ambukizwa hadi upate michubuko, ilikua inatokea mara kadhaa najilaumu kula kavu baadhi yao lkn nikishakua kwenye tukio nasahau yote nakula tena kavu,
Yaani mimi kuliko kula na ndomu bora nipige selfie,
Kwenye habari ya kupima hofu lazima iwepo, nshawahi kimbia majibu pale lidas miaka flani lkn baada ya kuoa ikawa kupima haikwepeki mambo ya clinic.
Na nshawahi kuuguza adi kufa mama yangu mdogo kwa uo ugonjwa alikua bonge lkn alikufa akiwa km mtoto wa miaka 10,
Nikiwa na akili zangu kawaida nahisi kauoga flani hivi, lkn nkishakutana uso kwa uso na K najisemea NIWE NAO NISIWE NAO NTAKUFA TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukapime ukimwi kwanza ndio tuendelee na safari[emoji276][emoji276]1. Nimekula kimasihara demu ndani ya basi la mkoani
2. Nimekula kimasihara mdada niliekutana nae church kwenye ibada
3. Nimekula kimasihara mke wa boss wangu
4. Nimekula kimasihara mama mwenye nyumba na mtoto wake
5.Nimekula kimasihara stranger tu,nilimpa lift ya gari kipindi mvua inanyesha
6. Nimekula kimasihara jirani yangu
7. Nimekula kimasihara mdada wa mpesa
Aya weekend hii,semeni wenyewe nianze na ipi kati ya izo hapo juu
UKIPITWA NA HII HUNA HAJA YA KUSOMA SHUHUDA ZOZOTE ITAKUWA AINA MAANA TENA TUNAKUJA KUZIMA NA KUFUNGUA TENA NAONA KULIPOA SASA KWA HISANI YA WANA NITASHUSHA KITU ILI MAMBO YAWE SAWA .............MWAMBIE NA MWENZIO MIKITO MIKITO KARUDI NA ANASHUSHA KITU .....
KAMA UNA MKATE ANDAZI CHAPATI NJOO NAYO CHAI IPO YA RANGI NA MAZIWA
KAMA NI MTU WA KUAMINI BASI BAKI NA MIMI MPAKA MWISHO NA ENDELEA KUAMINI .......