Toa darasa tuu hilo tupate la kujifunza.
 
Cha kwanza Kwa Izo dakika Pia ni Uongo Labla kama Ametumia Vidonge
 
Nyie ndio madaktari uchwara mnaokula wagonjwa, unakula mgonjwa mwenye dripu unajiona bingwa.... mamamae shubamit zako.
Mimi nesi alinila nikiwa na dripu ya dengu,
Baadhi ya hizi hospitali za binafsi zisizo na wagonjwa wengi wodi zinazokosa wagonjwa manesi na madr huzigeuza gest bubu, kuna hospital moja nshafanya sana ushenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa unajua kucheza na akili za watu humu ndani, yaani kila sehemu umefanyia ngono???!!
Huwezi kuwa man of the match/thread kwa sababu hujamfunika yule aliyekula kichaa...pia kuna mwingine kala mchawi...kwa hiyo Samboko utasubiri...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nesi alinila nikiwa na dripu ya dengu,
Baadhi ya hizi hospitali za binafsi zisizo na wagonjwa wengi wodi zinazokosa wagonjwa manesi na madr huzigeuza gest bubu, kuna hospital moja nshafanya sana ushenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!!!Safi na hongera mkuu naona hiyo kada unawabonyeza kimasihara hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…