eti "sichagui umri ni sura na umbo tu baaass"


hahahahah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Another lengend of the thread. Big up
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Men!!!! ....you are amazing writer...napenda jinsi ulivyopangilia story yako...nakushauri kama haijaanza kuandika uanze...😀😀😀😀
 
We jamaaa duh hahaha ukauza siti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri muendelezo wa hii stori Boss..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenipa confidence ya kuopoa mtoto high profile. Ingawa sijala kimasihara maana nimelisotea penzi for some time ila baada ya kuona watu wanafyatua mpaka boss wao na mimi nkapata confidence ya kum-face huyu manzi.
Nilikutana nae kwenye ofisi za shirika moja kubwa binafsi nilipoenda kumsaidia ndugu yangu mmoja kufuatilia stahiki zake na yeye alikuwa ndiye in charge.


Tufanye kazi,, tule vizuri,, tulale pazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nice story
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…