Jamani wanawake mmeona. Mkiwa na hasira tafuta rafiki yako wa kike au ndugu wa kike unaemwamini umueleze na kama wewe ni mtu wa Imani muombe Mungu akusaidie. Wazungu wanasema "When you are hurt take time to heal" Yaani kama umeumizwa jaribu kutafuta hobby unayoipenda ili kujifariji. Mimi huwa nikikerekeka ntaenda kusikiliza muziki halaf rafiki yangu atanipa na support nzuri. Hakikisheni mnapokua na boyfriend au fiance wako usiache urafiki na mahusiano yako ya karibu na marafiki zako. Huwa wanawake wanaumizwa kwa ajili ya kuweka akili zao zote kwenye mahusiano. Mkija kuvunja mahusiano ndo mnakutana na vijana kama hawa wanawala kihasara hasara tu bila mpangilio. Kwanini ushirikiane kimapenzi na mtu ili kutoa hasira? Naombeni tafadhali msifanye hivyo. This is a cautionary tale. Mtaishia tu kuwa dustbin ya sperm..... ndo mnavyofanywa na ndivyo mwanaume atakavyokufikiria. You are more than a one night stand.

PS: Najua nimewakera watu wachache. Ni maoni yangu tu. Kuwa huru kutoa mawazo yenu pia. Siku njema wadau
 
Wanawake hua hawasikii.... Unaumiza vidole vyako bure tuu, hakuna mwanamke mjanja mbele ya mwanaume.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi Vitano mara 10 mbna ni kidg sana me nimekojozwa 30 kwa siku 2 last week hadi nimeandika kwenye diary ni kitu sijawahi ona, kuna wanaume Mungu Kawajaalia jaman popote ulipo V wangu mwaaah!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Utamu wa pipi mate yako mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatombeka vyema, nimekuwazia adi nimedinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sory ya uongo whatsapp kwenye pc lazima uscan,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hujaeleza jinsi ulivyompata wife....... leta mwendelezo
 
Sory ya uongo whatsapp kwenye pc lazima uscan,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
Kweli tuna safari ndefu sana kufika uchumi wa kati.
Chief muda mwingine ni vema tu kukaa kimya kama huna uhakika na unachokiongea.
Itakusaidia sana kwenye Maisha.
Talk Less, listen More.

Hakuna sehem nimesema nilitumia Whatsapp Web.
I installed Whatsapp kwenye PC.

I take it huzifahamu Android Emulators for PCs like BlueStacks na NoxPlayer.
Make Google your friend Chief.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilitaka kumuambia ila nkaona nisubiri jibu lako ni vyema angesema out of curious uliwezaje ila ameuliza direct kama ana uhakika na technolojia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana naye ni type ya watu wanaojidai wanajua lakini kumbe hawajui, katika ulimwengu huu usijadai unajua kila kitu sababu huwezi jua kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaah moja ya story kali na uandishi wa kipekee....waliomhamisha mkoa .....hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…