MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,544
jimmyfoxxgongo, ]Mzee unaonekana ndo umemaliza 4 m6.
Nyumba ziko mbili moja ni home na nyingine ni ghetto chumba changu kabisaa kilikuwa njee.
Nyumbani yetu ilikuwa haina watu sana maana wote walikuwa wanapenda kuwa town kibiashara na walikuwa wanakuja mara chache kwa mwezii na mimi nilipenda kukaa huko kwasababu nakuwa huru. Alivyo kuja tulivyo shuka na boda boda aliingia nyumba ya juu kwanza siwezi hadithia kila kitu kuwa tuli kulaa sijuii nikaaagiza bia tena hapana huo mda wa kuandika ni mdogo so unajiongeza tu unatumia akili ya kuchambua
Sent using Jamii Forums mobile app