June
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 490
- 663
Toeni na nyie shuhuda zenu..
Toeni na nyie shuhuda zenu..
Ahaaahh, nasikia magovi wana uwezo huo kupiga bao nyingi wakiaminiwa na mademuSasa wewe ndo baharia wa ukweli...mwaka 1975.....kama ungekuwa yule mwamba wa tako 23 bao 23 nadhani ungekuwa na bao kama 1000+....bao nane..
.we kiboko dogo wa miaka hiyooo..
.cheerssss
cna uhakika sana...ila mkono wa sweta ni uchafu ....kusema kweli wanawake wanakazi sana....
Ahahaahhah, aswaaaa, nlikua na jamaa yngu miaka ya 2000, alikua govi.....sijui mpk leo analoo??!alimuoa mtoto wa kishua na govi lakeee......ebanaeee alikua anahadithia anapiga bao 7.....mtoto alitoroka kwaooocna uhakika sana...ila mkono wa sweta ni uchafu ....kusema kweli wanawake wanakazi sana....
Tatizo hawana miguu.Ukioa, umeoa ukoo mzima.
Mchizi mbona mke wake mrangi, unamuumiza mwenzioooTatizo hawana miguu.Ukioa, umeoa ukoo mzima.
Bro kumbuka hiyo ni sa 11 alfajiri na wote tushapiga gambe, ila kilichonishtua wakati napiga game demu akaniuliza *uogopi?* Hilo swali liliniumiza sana kichwa, wakati tunapima nilimuuliza demu akajibu kuwa yy aliniamini ndio maana wala hakuwa na wasiwasi juu ya afya yanguhiyo style ya kula sumu halafu ndo unamtafuta mkemia mm hapana...sumu haionjwi kwa kuilamba..kuuza mechi mwisho mwaka 2015...cku hizi ni zana kama cyo hivyo kucheki afya kwanza...nani wa kuteseka na stress kwa bao moja au mbili...kama cna zana bora kupiga selfi tu....
hiyo style ya kula sumu halafu ndo unamtafuta mkemia mm hapana...sumu haionjwi kwa kuilamba..kuuza mechi mwisho mwaka 2015...cku hizi ni zana kama cyo hivyo kucheki afya kwanza...nani wa kuteseka na stress kwa bao moja au mbili...kama cna zana bora kupiga selfi tu....
Kama unaona chai umelazimishwa kusoma tuondelee stree zako za kufeli kidato cha ivChai
Mimi sijasubscribe sababu najua kwa kuupata...Hivi niwangapi humu ambao hawaja subscribes huu uzi jamani
Mimi kitamboooo sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mimi mwanzoni sikufanya hivyo aiseee nilijuta,, niliutafuta humu mpaka nikakoma Kesho yake naingia2 jf nawenyewe huoooo hapo juu kabisa
Yaani ukiingia tu MMU lazima uupate....Duh mimi mwanzoni sikufanya hivyo aiseee nilijuta,, niliutafuta humu mpaka nikakoma Kesho yake naingia2 jf nawenyewe huoooo hapo juu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app