Kweli jamii forum kiboko hakuna hata mmoja aliyepiga show mbovu kila mtu anatamba khaaaaaahh hadi wanaume wa kinondoni sasa nashindwa kuelewa hapa ile survey ya kwamba wanaume wa kinondoni sio rijali kumbe wanasingiziwa maana wachangiaji wengi wanaishi Dar
Pili kumbe dunia ya sasa wanawake wamekuwa very cheap sana maana sijaona mahali mwanamke kachangia kaliwa kimasiara sijaona mm
Inasikitisha Sana siku za usoni kutakuwa hakuna ndoa maana waolewaji hakuna sio kwa shuhuda hizi zinasikitisha mno
Anyway ngoja mm niendelee na research yangu mwishowe nitakuja na feedback according to this generation kupitia huu uzi wa Riki boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Rest easy dogo janja
 
Una hatari wewe binti [emoji2][emoji2]; choir master alipata bahati.
Nishazeeka mimi ila maisha yamenipa experience ya kutosha. [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la unataka kufa lilikuwa la muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…