Uliondoka kifua wazi??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mwamba mmoja alikuja akamlipua akamwambia akiendelea kuharibu Uzi huu atamwaga hadharan madudu yake anayofanya huko uraiani, aiseee jamaa akawa mdogo kama piliton na akapotea jumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu, ila za Juma p maharage kama ulizosoma zotee aiseee utamkubali huyu mwamba, yeye ndo alileta story ya kwanza ya kula mtawa zikafata zingine ikaja funga kazi ya kula kichaa na hiyo ndo ikamfanya akapigwa ban ya maisha kama muasisi wetu @rikiboy
Kuna mwamba anaitwa Samboko , huyu ni next level...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenipa nguvu ya kuendelea mbele kifua mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, unasema sababu ya Juma p maharage kupigwa ban ni kuleta ile story ya kula kichaa!? Duh! Kumbe mtu anaweza kula ban kwa kuleta tu story! Im speechless
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaaahaa...bila hiyo dawa tutampoteza mgonjwa.,.nimeichukua hiyo
 

Nyie ndio madaktari uchwara mnaokula wagonjwa, unakula mgonjwa mwenye dripu unajiona bingwa.... mamamae shubamit zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…