Hao masingle maza ndio wazuri ukiwa nao,Nipigie pande mzee baba
 

Legendary......
 
Hyo NB nmeipenda mkuu. Quite gentlemanly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilitumia kondomu round zote 3 pia kwenye sex mmi sina mambo mengi na kwakua tumeshapima leo nadhani niko salama
Mkuu kama umepima kwa hiz RDT bado usijipe moyo maana hazina uwezo wa kuona vurus vya muda mfupi uliopita. We subir subir then ucheki tena.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna binti amesema wote tuliokula kimasihara tayari tulishapangwa kuliwa sema tulikua hatujui...

amenikumbusha kisa cha mwaka 2015 binti mmoja ambae nilikuwa na mazoea nae sana ila nilikuwa siwazi kumla tokana na heshima tuliowekeana ghafla kuna week shetani aliingia katika mawasiliano yetu utani utani binti akasema nina hamu nikamwambia njoo lodge flani nikutoe hamu kweli mtu kaja nikala mzigo...baada ya miaka kupita nilikuja muuliza akasema alikuwa ananitamani sema nilikuwa sioni akaishia niita mzembe na kusema nimepishana sana na hizo bahati maana sijui ku read sign...nikajisemea acha nipoteze tu sign maana unaweza ukadhani imo kumbe hamna kitu alafu hamna kitu ndio imo....wanawake wenye ujasiri wa kusema hisia zengu kudos kwenu
 
Nenda katawaze watoto wako huko.
Unatukera kutujazia Uzi pendwa kwa comment zako zenye uharo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani unateseka mkuu?!

Hebu toa na wewe ushahidi wa kula kimasihara basi nisafishe macho!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nachungulia tuu jamani, hapa unaweza paramia mtu kabisaa
Nataman wakati unasoma niwe karibu yako.ili nipate story ya masihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…