Hahaa nakufeel mzee jinsi unavyojustfy kula mke mtarajiwa wa mtu😂😂.. trust me huyo ni bro shetani anafanya mambo yake..

Mimi nilikula dem wa mshkaji wangu close sana huku nikiwa najustify sana lengo nipate uhalali wa kumla.. hili swala la papuchi wanaume tuko very weak
 

Mkuu kama umepima kwa hiz RDT bado usijipe moyo maana hazina uwezo wa kuona vurus vya muda mfupi uliopita. We subir subir then ucheki tena.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
sad sad..Dahh..Imenisikitisha sana hii kitu.Huwa naogopa kabisaa kuchanganya uovu na utumishi.
Nikishazinguaga huwa nakaa mbali sana na altare na sijihusishi kabisa na utumish curch mka nitkapoyawaeka mambo sawa.How dare huyo sister alikua anweza ???
 
Najua mkuu. Ila hii kitu inanguvu sana. Ingawa Pendo kagoma kuliwa mbele ya jamaa yake[emoji31][emoji31] tumehamisha kijiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…