Jana sasa ile mida ya usiku natoka zangu naelekea kuchek mpira mechi ya Chelsea na Arsenal nikapita sehm kuulizia chakula maana nlikua njaa kinoma ,kufika mgahawa washafunga lkn pemben kuna kiduka nikafika nikaketi pale kama kawa lazim usalimie ,nkampa hai muuzaj ni mdada stori mbili tatu mara unakaa wap nkamuelekeza nayy kasem anakaa sinza hahaha sasa hapo kwa saa5 ile nkaona hapa fulsa nkamjaribu na hiki kimvua mama sinz unaendajeee , hapa ndipo kona kali ya kuelekea bustan kwenye tunda ilipigwa hahahha akajibu nnaenda tuu nkamwambia kua silias bhn twende ukalale kwangu utaamka asbh unafungua duka kama kawaida yao kuguna lazima,nkaona isiwe kesi nkamwambia namba hiz hapa naangalia mpira bax ukifunga nistue hata nikusindikize maan ni mitaa ya bahar beach huku mda huo daladala hakuna,mara paaap dakika kama ya 38 simu inaita uko wapi nmeshafunga hahahahha nlikuja chap yan nlipokua nmekaaa nahis walidhan tumevamiwaa hahahaha, baharia mara kwa mtoto huyuu mguu wake mguu wangu mpaka karibu na geto nakaa barabaran kbisa hii njia ya bahar bich kwenda ununio hahahaha nkamjaribu tuingie nkachukue koti nasikia baridi ,si akaingia ndan nkamjaribu kaoge twende bax hahahha akaingia kuoga wakuu ile anarud kwa aibu kazima taa et avae nnachokumbuka ni kalala kwangu hahahhaa tunda limeliwa mpaka asbhn jaman maish haya vijana tinahitaj rehema hahahahah
alaf saa hiz yupo ananichatisha nianze kumtongoza akat mwamba niko JF nabandika uzi hahahah
 
Itabidi uletwe uzi wa kula tunda hatarishi.
 
Naona na mm nilete story yangu.
Ilikuwa 1998 kipindi cha elnino natoka arusha kuelekea chuoni Dodoma,nilikuwa nasoma moja ya vyuo vya kati mkoani humo.

Safazi ilianza kama 12.00 ASB ndani ya shabiby kupitia.Tulipofika standi ya MOSHI pale kama kawaida abiria wengine wakapanda safari ikaendelea.Miongoni kwa abiria waliopanda alikuwemo binti mmoja mweupe hivi na urefu wa wastani.Basi akawa ameletwa na konda had I seat ya pembeni yangu.Binti alikaa shingo upande huku akilalamika" Mimi niliwaambia nataka kukaa dirishani kwani huwa ninatapika sana kwenye safari ndefu".Nikanwambia usijali ukitaka kutapika mi nitakupisha.

Hapo tukawa tumetambulishana majina na wapi tunakwenda.Yeye alisema anakwenda Dodoma kisha apande trani kuelekea Tabora kwani ni mwanachuo wa chuo kimoja cha ualimu mkoani humo.Mi nikamwambia mi nakwenda Dodoma kisha wilayani kwa ajili ya masomo pia.

Safari iliendelea kufika maeneo ya makanya Gari ikaharibika,wakaanza matengenezo baadae ikabidi MTU atoke kufuata spear MOSHI mjini.Ikumbukwe kipindi hicho kampuni ya shabiby haikuwakubwa kama ilivyo sasa.

Abiria wakanza kushuka na kuzumguka huku na huko wakisubiri spear iletwe. Ikimbukwe baada tu ya kufahamiana yule binti nimwite x aliamua kucool na mi nikaona nikae kimya tuu

Baada ya muda na Mimi nikashuka kwenye Gari nikawa ninashangaa mazingira x nikamwacha kajilalia zake.
To make story short tulilala npale hadi kesho yake alfajiri ndo safari ikaendelea.

Tukiwa tunakaribia Dodoma kama SAA 7 HV mchana x akaniuliza kwani utakwenda wilayani Leo? Nikamwambia sijui kwani kwa kipindi hiki hakuna basi linaloweza pita ni hadi defender na nasikia zinaondoka asubuhi..Kwa jibu hilo x alitulia tena wakati huo Gari ndo linaingia standi pale Dodoma kwa kipindi hicho standi ya mkoa ilikuwa Karibu na maeneo ya sabasaba.

Mi.nikainila nikachukuwa begi langu tayari kwa kushuka..Ile ninashuka x aniambia tafadhali. Usiniache mi ni mgeni mji huu.Basi nikamsaidia kushusha begi tukatembe kutafuta gesti.Tulipofika akataka kuleta ubishi ohoo tuchukue rooms mbili nikamshawishi hadi akaingia kingi.Kufika room hatua ya kwanza bafuni piga denda la haja...nyonya matiti shuka mpk ikulu mtoto akawa hoi.Piga bao moja rudi kwa bedi piga tena ndo niakampeleka stasheni kukata tiketi.Kwa kifupi tulilala nae pale hadi kesho take yeye akaondoka kwenda station ya trani na Mimi nikapanda 110 kuelekea wilayani.kuanzia hapo hatukuwahi kuonana tena.
Popote ulipo M kama upo huku njoo Pm




Sent using Jamii Forums mobile app
 
I like this
 
Mkuu amakweli wewe ni mwandishi nguli.. asante kws hii story.. πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hahahahaaaa!!! Umenikumbusha show moja, demu nilikandamiza mpaka akaanza kukohoa. Alikohoa kama dakika nzima, anasema amesikia imegusa kooni. Dah, demu alikohoa sana na shughuli ikasimama. Ila nilijisikia vibaya coz alikuwa anatia huruma.
 
trplmike, post: 34157913, member: 76842"]
Mkuu amakweli wewe ni mwandishi nguli.. asante kws hii story.. πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
[/QUOTE]
Uzi wetu
 
Ninapo sema CHAI ni story za kutunga au kusadikika hazina ukweli wowote
Mimi ni MTU mcheshi nia yangu ni kufurahisha na kuburudisha tu jamani
Kama upendi CHAI sawa na kama unapenda CHAI sawa pia

Wale wanaopenda CHAI gonga thanks
NILETE JINSI NILIVYOKULA MCHAWI KIMASIHARA
Na wale wasiopenda CHAI msinywe ndio maana natanguliza neno CHAI CHAI
 
Story zako ni CHAI halafu mbaya zaidi hazina SUKARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…