Bado ya yule mhandisi aliyenitangulizia bahasha ya kaki imejaa noti more than laki nne kimya kimya.

Tuliza mzuka dogo.
You don't need to say all of that dude. Humu utasababisha watu wasijiachie, hata Kama mtu unamfahamu, we vunga tu maisha yaendelee.

N.b: naye ni binadamu si malaika hivyo mapungufu ni kawaida.

Kwema lakini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marhaba Tychob,

Hakika, elimu ya zamani iliwanufaisha wanafunzi.

Namkumbuka hadi Mwalimu wangu wa Hisabati (Hesabu) na Hati (Mwandiko), wa darasa la kwanza, Mwl. Igumi (R.I.P) na Mwl. Gutu (R.I.P)

Namkumbuka mengi sana, niishie tu hapa, tuendelee kupunguza msongo wa mawazo kwa uzi wa Riki.



James Jason
 
Bila shaka we mzee ni muandishi wa vitabu
Moja ya story nzuri sana kuisoma kwenye huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee bonge la story kwanini story nyingi zinakuwa hazina happy endings?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani inauma hii hali sana, my Best kaachiwa namba akipiga haipokelewi wala SMS hazijibiwi na kaliwa kimasihara.
Kwani ndiyo huyo nini? Mwambie nilikuwa napita tu, sikuwa nahitaji parmanent relationship 😄
 
Nakumbuka saana huzi pasi chapa ya jogoo tulipokuwa chuo cha polisi ccp zilinitesa saana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja Kati ya story ndefu na zisizo chosha kusoma. Hongera msimuliaji.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 balaa
 
Story imetulia mno...

Safi sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi zote sijawahi kula na ndomu,
Kuliko nipewe na ndomu bora nipige nyeto tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Shikamoo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sasa Mkuu, hukwenda hata kumtafuta Lindi kipindi uliporudi?

Hahahaha, Aise ni kweli. Nimekomaaa mpaka nimeisoma yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai ina majani mengi nmeshndwa kunywa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…