Pole mkuu,
Kuna mmoja alinisumbua mara mbili kaja home nkamshindwa, alikua akipiga kelele hata kichwa hakijaingia chote, bahati mbaya chumba cha jirani kulikua na m'bibi anaumwa na nyumba za uswazi siling mbovu sauti inatoka na redio huwezi fungua kwa sauti kwa heshima ya mgonjwa,

Sijui alijua ndio wnafanya vile mapenzi maana nlikua nafanya kwa tabu ivoivo adi nakojoa ki1 anasepa, kaja siku hy yule bibi alishafariki kilichomkuta ni balaa, nilifinywa na kung'atwa adi nkatoka damu lkn sikujali, alishindwa adi kutembea nkamuomba dada mmoja akampeleka home kwao sio mbali sana, nilitoroka gheto kwa hofu maana baba ake mjeda na mama ake alikua akijua vyema, aligoma kabisa kunipa tena, akaja kuolewa na mjeda baada ya wazazi kufosi baada ya jamaa kuleta barua, adi leo ni rafiki angu nikimkumbusha ananitukana matusi ya nguoni[emoji23][emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣😂😂
 
Nadhani muhimu ni lishe bora, ugali dona etc.. Ukipata muda tafuna karanga, korosho, mihogo etc.. Mwisho kabisa piga mazoezi either jogging or hata pushup ukiamka na jioni ukioga. Piga mazoezi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ushauri!
1. Weka msimamo usipige tena punyeto, yaani hilo wazo likija bishana nalo kwa nguvu zote!

2. Punguza kabisa kuangalia porn, zina madhara sn kwenye saikolojia na ufanyaji kazi wa viungo vyako vya uzazi!

3. Ukipata demu/mwanamke usiwe na papara, relax, ukiweza muelezee tatizo lako na umwambie akusaidie uliache, maana hilo tatizo ni more psychological than physical/ physiological! Ndio maana ukiwa mwenyewe uume unasimama vzr bila shida ila ukiwa na mpenz unakataa!!
Kila la heri!



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata yeye alikuwa na hamu na wewe, kashakumbushia ndio anajidai toka kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah pole sana ndugu
 
Sasa hapa bwasheikh si umebaka? Bado ni mke mtarajiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada kiranja alionesha jinsi alivyopevuka kiakili, na aliitendea haki nafasi ya ukiranja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ile 'tangu leo utakuwa unakaa na Mimi' iliishia vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wasumbufu balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…