Umepotea njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nawe umekomaa uzi ufungiwe wakati huchoki kusoma posts za wadau. Watu mna vimbelembele hatari, ufungiwe ili iweje!!!
Mtoto wa kiume unataka duplicate nin?
Kama upo tayari sema nikuduplicate
 
Lipia tangazo...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unaanza kuleta upumbavu! Waite mods waufungie uzi ili ufurahi, otherwise kuna nyuzi nyingi za kusoma, tuache wengine tufurahie papuchi zinavyochakatwa kwa bei chee.
Naona upo tayari kwa duplicate, lete mawasiliano yako pm hutojutraaa 😋😋
 
Ehhh ehhh Hii sasa ni Chai

Sent using Jamii Forums mobile app



Story kama hii alishatusimuliaga Jamaa yetu tukiwa chuo Sijui Naye alitunga.

Ila yeye hakumla huyo jini. Alituambia baada ya kuwa analazimisha kula tunda demu alimwambia mimi sio binadamu wa kawaida naomba uondoke. Jamaa yetu alituambia alimkuta demu uwanjani akiwa anapita usiku wa SAA tatu yupo peke yake. Akadhani demu anashida labda Anataka msaada kumfuata baada ya story ndo Anataka kula. Demu akampa akamtoa baru.
 
Wewe ni jasiri mfano wa kuigwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwaga ni chai tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…