barafu maeneo gani hapo nyuma ya kambale usawa wa geti lenye vyoo, huku soko mjinga
 
Nlienda kwa mshua kupumzika baada ya kumaliza form six __ years ago.

Mshua alikuwa anamiliki bar yenye ukumbi mkubwa ndani yake, baada ya kukaa kama wiki hatimaye nikapata rafiki, tulizoeana sana kwa kuwa alikuwa anatumwa sana na mzee ktk ufataji wa bear na pombe nyingine kalikali,, wakatokea majamaa ya kitaa yenye mziki mzito, wakanifata wakanipa wazo aisee 1kush kwa nn ktk bar ya mzee wako tusipige mziki alafu tukaweka kiingilio mlangani? Nikawajibu ngoja nikamshirikishe mshua,

Kiukweli mzee alikubali lengo letu, akasema hizo pesa utakazopata zitakusaidia ktk mambo yako, kimoyo moyo nikasema good,

Ile siku yakaanza matangazo "kutakuwa na mziki mnene ktk bar ya mzee _____, kiingilio Tsh X ila Ladies free,,, [emoji23],,

Ila nikawaza je watu watakuja kweli na kujaa?

Ile kufika mida ya saa mbili watu wakaanza kusogea eneo la tukio hahahaha,, watoto wakali kishenzi [emoji23] , nikasema kimoyo moyo leo nitatoka kapa kweli?!

Ikabidi nikae mlangani kupokea malipo ya wateja wetu,, hadi kufikia saa sita ukumbi ukawa umefurika kabisa hahaha,, ile pesa tukagawana pasu pasu na wale jamaa wa mziki,

Nikaenda Oga alafu nikarudi kitozi yaaani kinyangema zaidi hahaha, nikamwambia mzee tupe ruhusa tupige hadi saa Tisa usiku,, mzee akasema ni wewe tu hata mkitaka kukesha nyie kesheni tu,, mzee ni Askari[emoji23][emoji16][emoji3] ulinzi ulikuwa wa kutosha,

Basi nikaingia ukumbini alafu nikaenda kwa dj nikamwambia naomba na mm nipige ngoma kadhaa,, basi nikakabidhiwa matambo, nami nikaanza kuwanyanyua watu na midundo mikali [emoji3],, baada ya kama nusu saa ivi yule rafiki yangu akaniambia kuna binti amekuelewa,, ohoooooo nikasema yupo huyo? Mara nikaletewa pombe[emoji3], nikamwambia mtoe nje alafu na mm nakuja,, nlivofika nje sikuamini macho yangu baada kukutano na mtoto mmoja mwenye nyama nyingi chini ya kiunoni,,, maneno hayakuwa mengi, nikamwambia baada mziki kuisha usiondoke unisubiri,

Baada ya kufunga mziki nikaenda kuchakata mzgo,,

Basi akawa mzigo wangu mazima kwa kipindi kile,.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujala kimasihara wala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,
 
Dahh wewe jamaa ni baharia pure [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You can't tell coz you won't get those girls you mentioned above...


Invisible confusion
First of all, they are not girls.

Second of all, you totally missed the boat.

I am not even talking about those.

And you don't even understand the meaning of even.

Speaking of even.

You are not even wrong. You are off topic.
 
First of all, they are not girls.

Second of all, you totally missed the boat.

I am not even talking about those.

And you don't even understand the meaning of even.

Speaking of even.

You are not even wrong. You are off topic.
Simply you can't have them.Dude
 
Mwezi wa Tisa mwishoni nilipata safari ya dharula kwenda songea nikitokea Dsm,bahati nzuri Anco yangu alikuwa na safari pia ya Congo ,Basi kanipa lift mpaka makambako ,tumefika makambako saa 2 night ,ikabidi nianze kusaka usafiri wa kwenda songea mbele kidogo ya stendi kuvizia malori maana mabasi yalikuwa machache muda huo
Mara akatokea Dada naye alikuwa anaelekea songea ,akanipa hai ,tukapiga story mbili tatu,ikafika SAA 3 hatujapata usafiri ,kipindi hicho baridi lilikuwa Kali sana afu sikukumbuka kubeba koti,yule bint akanipatia sweta lake yeye akajifunika nguo
Baada ya kama nusu saa tukapata usafiri wa Lori(yanayobeba makaa ya mawe) ,tukaelewana bei na kuanza safari
Tulikuwa siti za nyuma, mwanzoni bint alikuwa anachat na mshikaji wake na mim nilikuwa bize na Simu yangu ,baaada ya masaa mawili hivi nikaanza kuona kama anasinzia ,nikamwambia aigeshe kichwa kwenye miguu yangu,alifanya hivyo
Kuna muda mwili ukaanza kupata joto ,nikasimam.... Kinoma alipogundua akasituka akaanza kunifinya nikajisemea moyoni huyu lazima aliwe,baadae akaamuka ,
Kwa vile sikuwa na namba yake nikamuomba Simu yake nikaenda sehemu ya msg nikaandika " nimeanza kuumwa"
Kisha nikamrudishia ,yeye akaandika " unaumwa nini?" Kisha akanipa nisome ,nikamjibu " muguu wa tatu umeamuka " akajibu kwa Kucheka ,Kisha kaniambia " tutaongea tukifika " nikajibu Poa
Baada ya hapo akalala
Mida ya saa 9 usiku tukafika songea ,kwa vile yeye alikuwa anaelekea mbinga nikamwambia apumzike ataendelea na safari mchana ,nikachukua room ,tukaenda kuoga then we make love,aiseew yule mngoni alikuwa mtamu ,nikapiga show mpaka saa 2 ,Mtoto alikuwa ananyonga mauno hatari ,
Akapumzika kidogo then nikamwamusha saa sita mchana ,tukala chakula cha mchana ,nikamwachia nauli ,mim nikasepa kwenye mishe zangu ,baadae nikarudi dar
Bado tunawasiliana nae
Wangoni wakarimu sana ,nimepanga nimfuate tena mwezi ujao nikale tunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…