Huwa naamini Kama Kuna kitu Mungu kaumba kitamu zaidi ya Kum*a Basi atakuwa kakaanacho huko huko mbinguni aburudike nacho mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeyumba kuandika Mungu bora ungeandika god.
Unamshirikisha Mungu hyo mambo?

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Hii ni chai bwana kijazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe gentleman sasa.
Akifika umfuate walau na Bajaj sio kumpandisha daladala.
Hakikisha gheto ni safi na linanukia. Muandalie chakula kizuri ama mpeleke sehemu nzuri ya kula.
Punguza papara, muache aamini kwamba yupo kwenye mikono salama.
Andaa playlist bora kabisa ya muziki laini au movie nyepesi zenye visa vizuri vya kimapenzi.
Weka simu yako mbali sio amefika wewe ndio upo busy na tecno yako.
Usiwe na haraka ya kuleta mrejesho humu, pumzika vyema na bibie.
Kila la kheri baharia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatarii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ushauri aufate huu
 
Wahi mkuu kachukue PEP
 
Umekuwa Mwalimu wa Kiswahili wewe,nenda sisi tunataka story hatuangaliii uumbaji wa herufi,nyambafu
Simulizi inavutia. Uandishi sifuri. Hakuna aya wala sentensi. Uandishi wa kifala wa kutumia consonanti bila vowels kama unaandikia mafala wenzako mlosoma wote mnaojua slang. Utoto mtupu ktk uandishi ila simulizi inavutia

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia unatoa mwongozo. Kweli mabaharia hawatupani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…