Pajama kaishusha
 
Means ulimuoa kabisa? Hongera bahari, vp kuhusu mkenya ligi iliishaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mwamba ametaja sana codes zote kujimwambafai kwa sana ila fresh tusonge mbele na Uzi wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nifukue makaburi kidogo hapa...
Miaka kadha wa kadha.. nmemaliza form six
Nipo mwanza mwanza kwa brother.
Nakaa na magetoni kwake..nmepata ki tempo changu mahala napoteza mda nikusubir matokeo.
Bro kwa maisha ya pale chuo alikuwa hapiki so tulikuwa tumeweka bili ya msosi kwa mama muuza..bhasi maisha yanaendelea..
Siku moja ckwenda kibaruani so nikawa nipo tu magetoni nakula music na kufua fua..
Mida ya saa nne nikatoka zangu kwenda kupiga chai..
Nafika kwa mama muuza naagiza zangu chapati na chai ya maziwa ..ile ndo inafika mezani tu..anaingia bi Dada mmoja yuko fasta fasta..kaagiza roast maini na chapati..
Mama muuza anamjibu maini yapo bt chapati za kusubiri..
Bi Dada anaishiwa pozi mda sio rafiki anawahi pindi..
Kidume ikabid nifanye ukarimu wa kiume..
Nikamwambia Dada we chukua hizi..mi ntasubiri..
Bhasi mbibie akashukuru pale..akapewa chapati zangu akala akasepa..
Kesho yke tena ilikuwa inaangukia weekend jmoc alikuja pale mida ya asbuh tukaonana
Safari hii hakuwa yupo fasta ko tukasalimiana tu akasepa..

Ckuwahi kumuona tena may be kwa sababu ya ratba ya kibarua changu.. nlikuwa narudi jioni so ucku ndo naenda kula pale..
Siku moja mwishoni mwa mwezi nikawa nmeenda kujipongeza kidogo..
Nlikuwa kwenye ki bar kimoja kipo mitaa ya sweya ziwani..enzi hizo pako hot..ndo ka kiwanja ka kupotezea time weekend.
Nmeagiza zangu konyagi na Pepsi na maji kubwa natiririka mdogo mdogo
Huku navuta upepo wa ziwa...
Mara papu aningia Yule bi Dada anaingia..direct Hadi ziwani usawa wa maji huku anongea na simu very upset.. yaani inaoneokana kaghafirika sna anajibizana na mtu kwenye simu..
Kmaliza kaenda kwenye meza upande mwingine akasikilizwa kaagiza castle lager mbili..nikawa nazipimishia kwa mbali
Mda kidogo akawa kma ameangalia upande wangu..nikampungia kishikaji bt cjui hakuniona au ndo ivo yupo upset akawa ameuchuna...
Mi nikaendelea kula gambe mdodo..
Akanyanyuka tena akasogea karbu na maji ya ziwani akaanza kuongea na simu tena..
Ka dakika kumi ivi...akarudi tena mezani nikaona anazifakamia bia chapu..
Mi nikanyanyuka nikaenda zangu kupunguza maji.. wakati wa kurudi ikabid nifanye kupita kwenye meza ake nikampa hi pale..na
Nikampa na pole kwa kuwa na cku mbaya..
Nikamwambia kama vip ahamie pale kwangu Kuna pozi..
Nikabeba vinywaji vyake nikahamia navyo kwa meza yangu pale..
Mbidada kaja pale anaporomoka shit za kutosha about men.. yaani kila saa anasema "wanaume nyie ni mbwa tu.." mi kimyaaaaaa..namcheki tu..
Mara anachukua nyagi ana mix na castle anabugia tu..
Ghafla tu akawa kachangamka balaa..
Anaamka anacheza anarudi
Vyombo vinatiririka tu..
Nilkuja kustukia..ameenda kuçhezea
Maji ziwani..Mara mtu kajiachia pwaa kwenye maji..
Kwenda kumtoa kalowa chapa chapa..
Afu mtoto kapoteza
Ikabid nimkokote mpka mpka lodge palepale..kwa wanaopajua Gonzales watakuwa wameshajua mazingira..
Chukua room pale..
Itaendeleaa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naisubl mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah huu uzi kiboko ndio kwanza nimesoma mpaka 1K ila hii naiona kama kali kuliko, ukiusoma huu uzi unasahau mpaka kama maisha ni magumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Daaah! umeamsha hisia za wengi haswa.
Ndege wawili at a go? Hii funiko bovu aisee.

Big up sana
 


Napata shida kuamini hii story


Mtoto wa miaka nane wa kiingereza anakukiss tena mbele ya wazazi wake??

Nitakuwa wa Mwisho kuamini hii kitu aisee..
 
duuuuh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunakusubiri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha nami nilete yangu kidogo

Katika Harakazi za ajira yangu huwa tunasafiri sana hata kwa sasa nipo mkoani napambana na Sites.

Sasa mwaka juzi (2018) Mwezi wa Tisa nilikuwa na sites za arusha nilipata guest maeneo ya Shivaz inaitwa Deluxe ila baadae wana walikuja kunijoin wao walipata Sakina kwahiyo ikabidi nihame deluxe niende guest kule maeneo ya Sakina ipo upande wa kushoto kama unashuka ukiwa unatokea Huku town Ipo barabani kabisa kwenye ule mteremko kama wa Services road

Sasa Nje ya ile guest kulikuwa na Kijigrocery cha dada mmoja hivi mtu mzima
Siku ya pili toka nilipohamia pale nilikaa ndani usiku nikaona ngoja nitoke niende hapo kwenye grocery nikapige story

Ile nimefika nikakuta kuna mama mmoja mtu mzima hivi ila sio kiviile amejaa jaa
Basi kidume nikaa pembeni yake.
Sasa yule mama alikuwa ni kiongozi wa CCM pale arusha ila huwa anaishi Dar mara nyingi

Stories za unbishi zikaanza mimi nampigia chapuo Lema yeye anasema watamgaragaza 2020 ule ubishani ukatufanya tukazeana na kuanza kununuliana pombe

Pombe imekolea si nikamchombeza bhana goma likatiki ila kwa Sharti hawezi kulala kwenye ile Guest kama nataka basi twende kwake

Basi akaniambia kwanza twende tukanunue chakula kule mjini nje ya Night club Picnic kama sikosei ila muuzaji wa hapo pamapouzwa chakula ni Mwarabu sijuu muhindi aliniambia anachoma kiku vizuri

Tukaenda tukachukua msosi pale haoo mpaka kwake maeneo yale yale ya sakina ila upande wa Pili wa ile guest tukafika akafungua mlango hapo nipo na Ndinga ya Ofisini (sijui akili za pombe yaani nilijilaumu sana baada) mpaka ndani sebuleni akaniambia mwanae wa kiume mkubwa ameenda club pale yupo mdogo wa kike mumewe alikuwa kwenye makazi mengine ya Dar kwahiyo kidume nikaambiwa nisiwe na wasiwasi
Nikakaribishwa maji wa kuoga oga fresh gonga chipsi zetu na kuku kubaliza hao mpaka chumbani
Piga sana machine mule mama wa watu anapiga sana yowe la kimasai (aliniambia ni mmasai sijui muarusha)
Nikapitiwa na usingizi nashtuka hivi alfajiri basi piga machine tena kitu ya Morning glory then huyooo nikatoka nje akanifungulia geti nikasepa Hata namba ya simu hatukupeana na wala sikukumbuka kuchukua

Kufika lodge tukapokea maelekezo toka ofisini tuache sites za arusha maana vibali vilikuwa vinazingua tuende babati.
Kufika babati tukaunga mpaka kigoma kazi ya arusha iliyobaki ikaenda team nyingine kumalizia
Nilienda mwaka huu arusha nimekuta ile Grocery wamefunga na siwezi kwenda kwake kuomba namba maana aliniambia huwa mara nyingi anaishi Dar

Ule ujinga sirudii tena kwenda kulala kwa mwnanamke Simjuo alafu na Gari ya ofisini then mji wenyewe arusha....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…