duuh kwa iyo ni singo maza
 
Mkuu tumia vificho, maana unataja mpaka location kama Villa park, kaenda Geita jamaa anaweza kuunga doti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata wewe mkuu una matukio KONKI sana. Pia nikupe hongera kwa jinsi unavyowasilisha vizuri matukio yako kwa mtiririko unaoeleweka vizuri. KONKI sana mkuu
 
Usisahau Kula tako Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika wote waliokula madem iwe kimasihara au planned naona wote wamekula madem classic madem wazur mara wa geti kali. Kwan hawa madem wa kawaida ambao co warembo sana hawaliki kimasihara?
Ni mkuu mmoja tu Juma p Maharage yeye peke yake ndo amekiri kwa kinywa chake kua alimla kimasihara Kichaa mmoja ambae alizoeana nae.
Mkuu Juma p Maharage rudi bhana umalizie ile stori yako tyjue uyo kichaa wako alipatwa na nini hadi akapotea mtaani hapo?
 
Sio J pekee ake..wengine kibao tu wamekiri wamekula madem wabaya....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann uteseke??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe uko wapi kuna jamaa kala kichaa kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…