ushauri mubashara kabisa huu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa alikuwezaa na huyoo alie kupa umbea wa uziii wa HiV

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hakunitaja katika uzi ila coment za mdau mmoja ambae walikua marafiki na mimi nahisi waliadisiana kwenye vikao vyao vya pombe.
Lakini hata kama asingenitext lazima ningeuona uzi ningetoka baruti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…