miaka hiyo kuna mwehu alikua anaitwa juma p maharage alikula chizi kimasihara na huyo chizi alihisi ni usalama wa taifa..na uzi wake ulifutwa
 
Aliyeliwa details zinafanana na za mke wako nini! Kama mke wako anaitwa Jackline anatoka Arusha na alisoma Masasi/Nachingwea.. Hapo kazi unayo.
Chief sio mke Wangu ila hizo Details zote zinakuja ni Manzi niliemla sana nikiwa Mlimani ila alienda soma huko niliipotaja yaan kila kitu jina eneo alipokuwa anasoma kabilia na kwao
 
Hii.umeuliza kwa uchungu sana..ngoja nimjibie.
Alisoma massachutes institute of Technology..hivyo ondoa shaka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Yaan details zote ni kama Manzi ambae nami nimemla kamamara 3 au 4 hivi, Mimi nikikutana nae Ubungo nikiwa Mwanafunzi Wa Milimani miaka hiyo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Yaan details zote ni kama Manzi ambae nami nimemla kamamara 3 au 4 hivi, Mimi nikikutana nae Ubungo nikiwa Mwanafunzi Wa Milimani miaka hiyo
Inawezekana akawa ni yeye chief na kama ni yeye basi now ni mke wa mtu. Kaa mbali nae kabisa
 
miaka hiyo kuna mwehu alikua anaitwa juma p maharage alikula chizi kimasihara na huyo chizi alihisi ni usalama wa taifa..na uzi wake ulifutwa
Yule chizi wa bwana juma maharage alikuwa kitengo yule maana ile stori ya jamaa gafla tu ikafutwa chapu saaana na jamaa hakuwahi kuonekana tena JF mpaka leo🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…