Ngoja nichukue maandazi.
 

Attachments

  • downloadfile-5.jpg
    36.9 KB · Views: 36
Kusoma hiz ni sawa na kucheki p**n
 
Uzi una miaka 11 nyie
 
Hahahaha....Kenya Lodge unyama sana..

ila hapo kwenye kula mke wa Mfanyakazi mwenzako sio fair kaka...Mke wa mtu ni sumu
 
Harassment au siyo?

Muda siyo mrefu tutaandika rip faza_nelly maana watu weusi wafupi wenye vitambi wana roho mbaya sana!
 
Kati ya vitu siwezi fanya katika maisha yangu ni hiki; mke wangu amejaliwa wadogo zake wengi pisi kweli kweli wamesoma nk. Na huwa wananiheshimu kuliko maelezo.

Ni kiwango kikubwa cha kukosa nidhamu kulala na mdogo wa mke wako.

Never say never. Usiseme siwezi, the future is full of surprises.

Hii kauli inabidi uitoe sekunde mbili kabla ya kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…