Umenichekesha sana
 
Huyu dada kapiga hatua.
Hilo la kula pamoja ni uchawi usioshindwa kwenye mapenzi.
Ndio maana kuna zile lunch na dinner ni hatari sana, wengi huishia kuwa wapenzi tu. Ila ameandika vizuri. [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tupe iyo ya shemeji huenda tukaendelea pata kitu
 
Hii in moja ya kula masihara na iliyo zaa matunda mema kongole mwaya kwa ndoa
 
Simulizi nzuri mkuu[emoji111]. Nina uhakika kila mwanaume kamili aliyesoma hapa lazima ashki majnuni zipande kidogo [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyu si ndo yule mwenye ukimwi
 
Huu mwandiko kama wa PATIGOO
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakiuacha huu uzi mpaka March tutafika 10 K na zaidi.
Rikiboy ametupa nafasi ya kupunguza mizigo moyoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]uzi kuusoma mpaka ujificheee aisee.... Ponooo waziwaziiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na sisi......
Copy na paste stor za kijiwe kaelimishe huko hapa ni moment za kukojoza kimasihara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yapili kwa wadada
 
Nilivyoliwa kimasihara na member wa Jf.

Huyu alikuwa rafiki yangu tu wa jf na nje ya jf tulikuwa tunashirikiana mambo mbalimbali .

Sasa wakati nimepishana na mpenzi wangu tukagombana yeye alikuwa ndiye mshauri mkubwa kwangu .

X wangu ni mtu aliyenifanya nikose raha yani nikawa naumwa sana baada ya kutokea ugomvi maana alinitapeli pesaa kama laki 8 na huyu member wa jf alinionea huruma kwa kunipa moyo na mawazo mbalimbali.

Nakumbuka wakati mambo yote yanatokea niliomba likizo ya siku 14 nikidanganya naumwa maana kitendo cha kuachana na mpenzi wangu niliyemuamini kiliniathiri sana kisaikolojia.

Kufupisha story baada ya kupata hiyo likizo nikampigia rafiki yangu wa jf juu ya likizo na ninavyotaka kwenda sehemu kupumzisha akili.
Basi akaniambia ana safar ya Songea kikazi hivyo kama nitapendezwa niende huko nikapumzike kwa hizo siku atanichukulia room hotelin nitulie kuweka sawa akili.

Kama kawaida nikapanda gari kutoka Dom mpaka songea akanipokea vizur nikafikia hotel ya Ruhuwiko hunt club ya Songea .

Akanifikishia kwenye chumba alichofikia tukapiga story za kutosha akanipa moyo akanishauri mambo mengi sana mpaka nikawa kawaida kabisaa basi usiku akatoka akaniacha mwenyewe nikaoga nikaagiza chakula nikala nikalala .

Ilipofika saa NNE usiku akaja jaman kilichotokea hapo ni kuliwa tunda kimasihara bila hata ya mtongozo .

Baada ya hapo ikawa ni mwendo wa kulana na mahaba moto moto ndani ya siku 7.

Tunamaliza miezi 10 mpaka sasa tukikutana tunakulana kwa mahaba moto moto. Kuna siku alikuja tena Dodoma nikaenda tukakulana kama kawaida na saivi nimekuja dar nasubiria arudi huko Dubai nimpe tena tunda la kimasihara.


Najua utapita hapa ila duh wewe mkaka ni mtu wa tofauti sana una mwili fulan msafi kukumbatiwaa mtamuu nataman nikutagi ila kuna mafisi hawachelewi kukupa mazagaa ya porojo.


Demiss VEO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake, Wakati wa kusex ni mambo gani huwa yanawakera kutoka kwa wanaume!!
 
Hey kuna kipengele umeruka, hujasema kama ulikuwa na determine au bioline au hata unigold room kwako, au uli palpate lymphnodes kwanza kucheki sije jamaa akawa na lymphdenopathy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…