Ila we jamaa uko slow sana.
Ni kwel ila jamaa alikuwa anapenda type za Hali nzuri,Sasa Kwa bahati mbaya anasema alikuwa anakutana na pisi mbovu,😂 mara Zina vuta sigara mara Zina piga nyagi Kwa apo lazima awe slow 😂,Mimi simlaumu ila Kwa mazingira anayokuta nayo lazima awe slow,ata ingekuwa Mimi nisinge kuwa na haraka 😀.
 
Uliwakilishaje taifa na ndosti? Hapo ni kama hujapiga tu
 
SALAAM , WANAMIZAGAMUANO

Tulikutana Club na huyu bibie alikuwa anakunywa juice na mimi sikumbuki vzr i think Bavaria ndo kinywaji changu pendwa by then wote tumekaa reception main stage kuna burudan za hapa na pale tukawa tunacomment kuhusu zile show zinazoendelea pale jukwaan ikatokea tukawa na kabond ndan ya muda mfupi kama tumejuana kitambo nilitoka kwenda msalan dkk chache kurud namkuta bibie analalamika kuna mtu kamwaga kinywaj chake i was like , "agiza tu tena mi nitakulipia " i think hapa nikachukua poin 3 za away
baada ya muda ikawa kujimwaga stejin bibie akaniita stejin twende tukayarudi mayenu ili kuonyesha sina papara nikamwambia nenda nitakuja baadae but sikuenda nikauchuna tuu ( point 3 za home) that was end of day 1.
DAY 2 Tulikuja kuonana tena same place baada ya wiki kama 2 hv akanichangamkia sana nami nikamchangamkia ikawa full shangwe siku hiyo mpk muda wa kurud home nikamsindikiza kwake mida kama ya saa 9 usiku hivi nikachoma had ndan bas mtoto si akaanza mikogo mara kubadili nguo mbele yangu nikamwambia why between my upwiru you are passing arround usije kuniona mi foward butu kama Jobe wa Simba nikamrukia mpaka kitandan mtoto anahema juu juu tu kumbe utelezii zamaaaani ,
Dj naomba nipigie Amelowa ya Harmonize.
 
Sawa pharmacist, tukutane kijiwe chetu leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio kimasihara
 
Hongera ila madem wa kenya nawajua wengi wabovu na very cheap 😁
 
Asee una visa vizuri kinoma
 
Duuh
 
H
Huu mkutano wa Dar naukumbuka, nina mwanamke wangu Shinyanga namla alienda na akawa hapokei cm, nahisi alifirimbwa, amekaa kihuni kwanza msenge yule ila mtamu sana, roho inaniuma🤣
 
sio kimasihala hii elewa neno kimasiala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…