Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Ok ok ...umesikika
Wenzako wankula na kulipiwa kila kitu lakiniNajilia tu kwa 20000
Mimi nimekupongeza sana mkuu.Au pongezi ni dua la chicken?Dua la kuku , nioneshe mkeo nimpe rejesho
20000 tu nakula mzigoWasikutishe mkuu.Endelea hivyohivyo. Na kama vipi,kamuombe mume wa mwarabu umpe mahari umuoe kabisa.Kwani nini shida?
Najiweza mkuu.We huchezi vikoba? Sponsor yupo.
PomojaaaaaMimi nimekupongeza sana mkuu.Au pongezi ni dua la chicken?
Mademu wa vikoba maharage ya mbeyaWe huchezi vikoba? Sponsor yupo.
Muache kwanza atuhudumie gahwa na kashata za alizeti.🤣🤣Kamalizane na shemeji nyumbani kwanza😆🤓.
View attachment 2928067
kumbe tayari keshapakwa futa kiasi cha kuolewa😂😂😂😂Kamalizane na shemeji nyumbani kwanza😆🤓.
View attachment 2928067
Soma komenti #55Ila haya maswala ya watu kujiingiza kwenye marejesho bila kuwa na kipato Cha uhakika ndio matokeo yake haya,afu we jamaa chukulia kama uliteleza tu,usiendekeze tamaa alafu heshimu ndoa ya mwenzako
hahahaaNdoa Ndoa Ndoa
Usi hangaike, huyo binti yetu😆🤓
View attachment 2928068