Subscribed!
 
Njooni huku mjisomee watu wanavyokulana kimasihara lakini kishua:

 
Napata ka burudani fran hiv nikiwa hapa kawe beach kwa kina gentamicin
 
Wadau mmeleta mpaka uzi wangu humu.......SO SOON NATOA KITABU
 
Daah we jamaa umenikumbusha kitambo nlikua na manzi yangu mkenya , alikua hana mbamba ana kuchana live na alikua romantic sana sema mapishi ndio chenga
 
Wakuu mnipe mbinu.

Wiki ijayo kuna workmate nasafiri nae kikazi.

Nataka Nile kimashara nimefikiria nianze kwa kumshawishi kulala nae Chumba kimoja lodge .

Naombeni mbinu nyingine wakuu?
Usijalibu kudate na workmate utakuja kunishukuru baadae
 
Lete story watu mnapotiana mikasa sana wengine hatujawahi tunaona kama movie.
 
Msee unaflow sheng kwenye uzi ile FITI haha labda lugha inansound vizuri sababu kiswahili kama kimechezewa hivi.
Hongera sana

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Nmependa uandishi wa hiyo lafudhi ya Kenya
Ukiweka nyingine nistue
 
saa ngap inaendelea
 
Oi story yko kali nmeikubali, tupe muendelezo mkuu
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…