Hata wachaga kina manka wanakatika siķu hizi....
 
Utamu ndio unapelekea hivyo yaani, mfano mm ukikolea utamu hadi kilio kinakuja chenyewe
 
Utamu ndio unapelekea hivyo yaani, mfano mm ukikolea utamu hadi kilio kinakuja chenyewe
Mi wa hivi nawapa mto au object yoyote wang'ate[emoji3]
Kuna baadhi ya kelele zinashusha stimu bhna
 
Mi wa hivi nawapa mto au object yoyote wang'ate[emoji3]
Kuna baadhi ya kelele zinashusha stimu bhna
Mm huwa najicontrol kutokana na mazingira, kuna mazingira unakuta geto liko uswazi hapa inabidi nililie kimoyomoyo
 
Mke wangu ameenda kwao Moshi kula Sikukuu.... kila nikiwaza kuwa atakutana na maclass mates wake naona kabisa ataliwa......
Unajipa presha bure mwanawane....by the way, kwa nini umemruhusu huku ukijua kuna classmates wake huko? Next time asiende labda mwende wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umalaya wanafanyia kwa Lipaja
 
Mtoto yuko bright sana kichwani, ananipa ideas nyingi na ana support sana struggle za maisha alafu ni kama ana ka upepo flani ka hela toka nimenza kudate naye deals za hela zina miminika. And also anapenda sex za kibabe namwachaje sasa? Hahahah
Nje ya kimasihara mzee em. Nipe michongo ya kazi kwanza mkubwa
 
Wapi kaka wew Chihangu ni mitaa ya jirani sana
Nilipangiwa hiko kijiji na Tamisemi hapo!! Nikafikia kitangari nikaonyeshwa Ofisi za Halmashauri hapo maputi yale mazingira yalinitisha uongo mbaya sema sijakaa sawa nikala tena Wizarani nikasepa huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…