Wewe kubali umekosea Tu huwez sema Mungu akurehem ukiwa hai.kama Una hoja za kutosha kuhusu kusema Mungu akurehemu ukiwa hai njoo

Unaongea na Master katik angle hiyo
Sky is the limit best."master"?kwenye knowledge hatuna huu msamiati hasa kwa mtu ambaye anajua evolution of language in "time"and space
 
Wewe kubali umekosea Tu huwez sema Mungu akurehem ukiwa hai.kama Una hoja za kutosha kuhusu kusema Mungu akurehemu ukiwa hai njoo

Unaongea na Master katik angle hiyo
Mind you sijalikosea ila amini nakuambia wewe unalifahamu kwa angle yako wakati mimi nalitumia kwa dimension nyingine kabisa.any way its my last coment kuhusiana na swala hili labda tuzungumze mengine maana nahisi tutawakera watu na kuondoa dhima ya jukwaa hili.asante
 
Sky is the limit best."master"?kwenye knowledge hatuna huu msamiati hasa kwa mtu ambaye anajua evolution of language in "time"and space
We jamaa ni mshamba Sana nenda kwenye hoja nini hujaelewa hapo neno "master" mothe..fuc... Unashindwa kwenda kweny hoja ...any way ipo hiv nikisema "master" namaanisha nipo vizuri kwenye lugha ya kiarabu...

Wewe umepuyanga au unataman kufa?

Bwege ww
 
Wewe ni mazabzab lugha ni moja hakuna kwa dimension nyengine

Unapokosolewa unabidi ukubali mpumbavu mmja wewe

[emoji1787][emoji1787]Watoto wa Zama hiz shida
 
Dah! Tumelaaniwa wengi aise
 
Wewe ni mazabzab lugha ni moja hakuna kwa dimension nyengine

Unapokosolewa unabidi ukubali mpumbavu mmja wewe

[emoji1787][emoji1787]Watoto wa Zama hiz shida
Wewe ndio ambaye unaonekana kuwa uelewa wako ni mdogo.

Huwezi kulazimisha matumizi ya lugha kwa namna unavyoelewa wewe.

Hakunaga dimension moja linapokuja suala la lugha, hasa yenye maudhui ya kiimani.

Neno rehema linatumika sana na tena kila siku kwenye ukristo. Na halihusiani na kutaka kufa.

Kwahiyo sio sahihi kusema kuwa wewe umebobea katika masuala ya kiimani.

Na kama kweli ungekua umebobea kwenye imani, nina uhakika usingekua hapa kwenye uzi huu
 
We nae Una hang over nimesema nimeboboea kwenye Imani au lugha ya kiarabu?

Shida kubwa hamtaki kukubali ukweli

Kwahiyo neno "upumbavu" kwa sababu ya dimensions unaweza sema sometimes inatumika kama furaha? Huyo amepuyanga Tu....
 
Jamani! Sasa huku ndo kula tunda kimasihara?
 
We nae Una hang over nimesema nimeboboea kwenye Imani au lugha ya kiarabu?

Shida kubwa hamtaki kukubali ukweli

Kwahiyo neno "upumbavu" kwa sababu ya dimensions unaweza sema sometimes inatumika kama furaha? Huyo amepuyanga Tu....
Hivi unajua tofauti ya nguvu ya hoja na hoja ya nguvu? Wanaokukosoa Wana hoja! Kinachokufanya uhamaki na Nini??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ulisema Mungu akurehemu means unataka akupeleke kuzimu

Muache kutumia maneno kama amjui maana yake

Ndio maana mtu akifa tunasema

Allahu mafirrahu warhamahu waskana WA fii Janna
Kwani kuna ubaya mtu kuomba rehma kwa mungu? Mtu anaposema mungu anirehemu anamaanisha mungu amhurumie na huruma si kwa marehmu hata sisi tulohayi tunahitaji sana huruma yake kwa makosa mengi tunayoyatenda
 
Kote umeandika vzur,ila mwishoni tu hapo i ll never look for another women,tayari obsession hiyo na itakumaliza taratibu [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…