Mkolosai2020
Member
- Aug 11, 2022
- 22
- 31
Nipo zangu field 2022 mwanzoni, tulitumwa na shirika letu kwenda kufanya utafiti kwenye jiji linalosifika kwa wakazi wake kujenga juu ya milima na miamba kwa muda wa mwezi mmoja. Umbali kama wa mita 500 kulikuwa na ki-mini supermarket. Kulikuwa kuna dada mmoja graduate mrembo anauza pale na alikuwa mcheshi sana, alinidadisi dadisi nikamwambia nimetoka Dar nipo huku kikazi....


kwahiyo ulikula kima sikhara na ukaona hii imeenda ukairasimisha kabisa
