Safiii sanaaa mwambaa
 

Unatumia nguvu nyingi usipo itajika, mwanamke anakuvuruga hivyo unafikiri utamwelewa
 
Wanawake mpaka akupe mbunyenye ameshakupa credit fulani, na ukimsumbua sana ukikaza hakuna mwanamke anakataa ni muda tu utaamua, sasa mpe heshima yake
 
Sio kwa ubaya au kuwafarakanisha ila sioni kama mkitoboa... Mke wakuishi nae kwenye ndoa kuwa makini sana chagua mtu anaekueleaa katika hali zote na wewe unamuelewa nyakati zote, muwe na lengo moja upendo ni jambo la kwanza mambo mengine yanafuata,

Kumaliza cpmputer kozi vinaingiliana vipi ratiba za kuolewa hiyo pekee sio sababu naona anakwepa kuingia kwenye commitment ya ndoa
 
Na kitufe akakutunuku ukapita nacho kitufe ndio nini mkuu
 
Kwa matumizi hayo ya hela ndo unataka kuoa huyo ??? Subil ufulie siku mbili ndo utaona sura yake kamili
 
Huyo anayetoa mtaro ukimchoka nitupie namba yake pm kiroho safi baharia
 
Utakuja kupigwa tukio hilo , hadi utafungua Uzi hapa jukwanii,Yani unasema kabisa unampenda? Huyo ni Fox mzee,macho kwenye salary,kama unabisha siku unamgonga ,akilala kagua hiyo simu yake ndio utaelewa huyo wakuoa au wakupita nae tu..

Asee acha hizo kauli eti unampenda,As a Man sijui una gain nini ukisema unampenda Demu kama uyo
 
Unajua jamaa yeye ndo kakolea,alafu demu yupo kimkakati sasa [emoji23], ni aibu mwamba ana kili eti anampenda kiukweli [emoji23]
 
Yani humu Kila siku tunaimba kataa ndoa ila kuna watu wabishi

Mmerogwa na Nani?
Mwanamke WA ndoto zako unamjua wewe?

Usikute mama yak hata 5k hujawai mpya...

No attachment just a sex

Sikushauri tena
 
Yani humu Kila siku tunaimba kataa ndoa ila kuna watu wabishi

Mmerogwa na Nani?
Mwanamke WA ndoto zako unamjua wewe?

Usikute mama yak hata 5k hujawai mpya...

No attachment just a sex

Sikushauri tena

Wakizeeka wanakuwa ombaomba full kulaumu watoto ,rafiki.pamoja na ndugu kuwa hawana msaada wakati ujana alikuwa mtu wa bata
 
KIKAO CHA WANAUME.

Kikao cha wanaume kimeisha salama jana.

Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya.

Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae.

Labda kwa shida maalum kama vocha ambayo anakupigia nayo mwenyewe..

Tumependekeza maboresho kadhaa..

Suala la kukutana ni la wote sio upande mmoja, hivyo kama mwanamke atataka kuonana na wewe, hana budi kutumia nauli yake kukufata..

Wakati wa kuondoka unaweza kumpa hela, lakini SIO LAZIMA.

Kikaoni pia tulizungumza kuhusu hela ya kutolea, na muafaka ukawa..

Kama wanataka hela ya kutolea basi waje nyumbani kuifata hela kamili, Tusiwanufaishe maboss wa Tigopesa na M-pesa tusiowajua.

Wale mabingwa wa jibu la "Kuna hela naisikilizia" wameongezwa katika kamati ya wajumbe waweka adhina..

Kila pesa ya chama chetu, itatunzwa na ubahiri wao,.

Adhabu kali itatolewa kwa wanaume wote ambao, walipotongoza na kukataliwa, wakaendelea kuwa na urafiki na mademu hao..

Kama amekukataa, futa namba na aache mazoea..

Sheria ya makosa yasiyosameheka, uhaini na jinai, yametanabaisha yafuatayo.

Kujibu kistaarabu text ya mwanamke anayekutafuta akiwa na shida pekee..

Kutomuazima mwenzio chumba, pale anapotaka kuleta manzi yake..

Kumkandia/ kumuaibisha mwanaume mwenzio, hili upendwe wewe..

Kulalamika, kulialia na kutia huruma inbox pale unapotumiwa text ya kuachwa.

Kumpokea kwa bashasha demu asiyefanana na snapchat yake,

Mwanamke ambaye kwenye edit za picha ni Rihanna, alafu live ni Josh Onyango, inasharutishwa aachwe stand ya daladala..

Upande wa pili..

Wale wadada ambao huwa wanatuambia wapo njiani wanakuja, hivyo kusabababisha sisi tufanye usafi wa kiwango kikubwa..

Na mwisho wa siku hawatokei, imependekezwa tuwaache mara moja bila kujali urembo wao..

Mjumbe aliyekumbwa na hali hii zaidi ya mara 1 aliuliza kwa jazba, "Kama hawawezi kuja gheto, kwenye harusi atakuja kweli?"

Mengineyo, tumefikia muafaka kuwa kama uwanja ni mkubwa basi Sharti ni kuzunguka round moja tu..

Yaliyoorodheshwa yafanyiwe kazi, Majukumu mema wanaume wenzangu.
 
 
Nyumba za Prof wa kihaya sio? Basi kama ndio wewe utakuwa jirani yangu na issues nzima toka mnakuja na kinjunga ( ist)niliiona na harusi yenyewe ilikuwa ya mtoto wa kigogo mmoja wa mbogamboga!

Nilikuwa juu balcony usiku navuta Jani la porini kufukuza mashetani,uku nanyunya gongo la makaburu ya kidachi namixia na vodka la kirusi.

Kama ni wewe na uhakika ni wewe basi uyo bidada alikuwa na mgongo wa maana na mbele kidali kimejaa cha kushiba, hongera sana.
 
Wew jamaa[emoji23][emoji23]
 
Usirudie tena kuuza mechi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Endelea tuu kumla kimasikhara....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…