Unaposema umeoa una maanisha kuwa ulimtongoza mwanamke, ukaenda kwao, wakwe wakakutathmini na kukuridhia, mkapeleka posa, familia zikakaa, kisha viongozi wa dini wakabariki?
Kuna vijana utadhani wameokota[emoji26]
 
Mi nilikuwa nakushauri, achana na haya mambo ya kujifariji kwani ni wewe ulikosea kutuma ile screen shot. Hata mi niliona haukufanya sawa na haukuwa makini haya mengine temana nayo yameshapita mkuu.
 
Hapa wote mna aibu kifupi acheni hilo mtachomesha picha muda sio mrefu kwa sababu wote bado ma underground huyu hajui kuchepuka mwingine hajui afanye nini kifupi wote hamjui mfanye nini so acheni mara moja kabla hakija waramba
 
Mi nilikuwa nakushauri, achana na haya mambo ya kujifariji kwani ni wewe ulikosea kutuma ile screen shot. Hata mi niliona haukufanya sawa na haukuwa makini haya mengine temana nayo yameshapita mkuu.
Wajinga sana nyie watoto baada ya kuona ninaujinga wenu nataka kuwaanika mnajifanya wanadiplomasia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hili ni mimi na nyie bampa to bampa hadi muache kumsumbua mtoto mzuri tena wewe inawezekana ndio yule wa jana alie jifanya ni mimi eti nimebadirisha namba.

Kifupi mnahitajika kufundishwa kuvuta pisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…