Hongera san mkuu
Naamini umefanya kitendo cha kiungwana san na uendelee na roho iyo iyo kwan Mungu atakusaidia
 
Utoto unakusumbua
 
Mbn jela inakuhusu mkuu, fanya mkae família zenu zte pande mbili mfikie muafaka mpm kbl serikali (jamuhuri) yenye mwanafunzi wao huyo haijapata hzo taarifa
 
Umeamua mwenyewe kwa akili zako kuishika Jamhuri kiuno sasa ngoja igeuke mkutane uso kwa uso ndio utajua maharage ni mboga na sio mbegu. Enhee utajua kuna wana wameajiriwa na mwana Jamhuri na kazi yao ni kuhakikisha unafungwa na kama hujafungwa wanahesabu wamefeli. Ndio utajua maana ya ule Msemo "Apate adhabu kubwa iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hizi" Umeuamua kuukanyaga maksudi Ugali wa Jamhuri sasa subiria wakufungulie mbwa ukahadisie kwa Manyapala
 
[emoji23] kumbukumbu nzuri sn hii kwan hujamwambiaga kuwa unayo mpk leo hii
 
[emoji23]
 
Una moyo mtu ujamjua una mnyonya
 
Vijana wa aina hii wanamchango mdogo sana kwa taifa
Unanyonya kizalio na mtalo wa taka na bado unajiona mjanja[emoji848]
 
Lete visa mkuu
 
Ndo ungetwambia hiyo harufu isiyo ya kawaida ndo ilikukata stimu au ndo kawaida??
 
Kifupi umekuja kutueleza kua una tatizo la Early Ejaculation right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…