katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Nimewahi kutoa tunda kimasihara nilipokuwa chuo cha veta nilipenda sana kampani za mchanganyiko .Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.
Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana. Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock[emoji15][emoji15][emoji33] kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.
Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mimi mbonaaa siweziiiiii Kama unabishaaaa twendeeeee tukaoneeeee kweli kabisaaaaaaaaNimewahi kutoa tunda kimasihara nilipokuwa chuo cha veta nilipenda sana kampani za mchanganyiko .
Basi siku moja tulikuwa tunabishana jambo na mtu kijana mmoja akasema jamani katoto umependeza leo nikamwambia aka unikome katika mazungumzo tukadai hivi huwezi na weza huwezi na weza mwishoni akasema twende ukaone kama naweza basi.
Basi tukaongozana na ...... na kweli kajipatia mzigo tulikuwa mimi na msichana anaitwa pachaa .
Akajilia kwa raha zake yaani mpaka kashiba na toothpick akapatiwa .
Loh basi kila mtu anabahati yake kala toothpick na chibonge mwenye umbo namba nane walahi kaenjoy.
Kwa raha zake .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Aisee alijua hutaweza nini...!! Mkuu huyo bado unaweza kumlaa khaaKipindi hichooo miee Badoo mdogoo nachungaa ngombe na demu mkubwaa tuu kanizidii miaka Kama kumiii hivii nikajaribu kuomba mzigo kiutanii alichekaa akaniambiaa hayaa njoo bwaneee ilee nawekaa kamashinee kanguu nikakutanaa najotoo hataree nikamwambiaa ngojaaa ipoee Kwanzaa daaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sahiviiii ameolewaa na anawatoto wakubwaaa tuuu ilaa nikiendagaa home ananiambiagaa imeshapoaa njoooo
Ndio ivo mkuu, kuna watu wanamiliki wakali acha kabisa... Namtamani mpaka kesho sema ndio ivo dem wa mshikaji wangu na mwakani wanafunga ndoadah; kwaiyo ulimtafuna demu wa mshikaji wako Mkuu.
Aaah nikamtest kwamba siku akija nimle samaki pande zote mbili, amekubali nipge kokotr kule,, kichwani nlikuwa natest tu ye kajaa mazima tena amedai anataka nimuoe kabisa,, alafu anapiga yowe niende nikajitambulishe,, yaaan moyo ushasita tayari,,Unaogopa Ngoma mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Manzi alizinguliwa na chalii ake. Basi manzi kwa hasira akaamua kujilipua one two three code 255 akanivutiwa waya. Oya Dias leo nina story moja matata. Nikalonga nae kizazi. Nikamwambia aje ikulu ndogo hapa Chamwino. Huku huku kigiza kimeingia , mtoto akatia timu mzima mzima. Pale ikulu ndogo pana kama resort fulani ka kinywamwezi. Basi alipofika tukaanza story za kuzugia za hapa na pale huku monde mbili tatu zinaendelea kumwagika kooni.Tupe story mkuu[emoji23][emoji23]
Nimewahi kutoa tunda kimasihara nilipokuwa chuo cha veta nilipenda sana kampani za mchanganyiko .
Basi siku moja tulikuwa tunabishana jambo na mtu kijana mmoja akasema jamani katoto umependeza leo nikamwambia aka unikome katika mazungumzo tukadai hivi huwezi na weza huwezi na weza mwishoni akasema twende ukaone kama naweza basi.
Basi tukaongozana na ...... na kweli kajipatia mzigo tulikuwa mimi na msichana anaitwa pachaa .
Akajilia kwa raha zake yaani mpaka kashiba na toothpick akapatiwa .
Loh basi kila mtu anabahati yake kala toothpick na chibonge mwenye umbo namba nane walahi kaenjoy.
Kwa raha zake .
pole sana mkuu.
sasa getto alienda kufanya nini???Waambie hao mzee wanawake waojiheshimu hawafanyi upuzi....
Nishashuhudia manzi kafikia geto kwa mwana wiki nzima na hakutoa papuchi dadeki analala na jinsi
Naunga mkono hoja. Ukipiga gemu ya haja lazima mtu akugande.Wengine ni hawajavutiwa na previous game usinikaririshe hizo no spring attached