Ulikuaga wakala na hujui kufungua hat akaunt ya wasap na fb?[emoji23][emoji23]mbn uongo huu, enewei maelezo meng sana na baba P wako alf weka paragraph ili watu wasome kwa vituo
 
Ulikuaga wakala na hujui kufungua hat akaunt ya wasap na fb?[emoji23][emoji23]mbn uongo huu, enewei maelezo meng sana na baba P wako alf weka paragraph ili watu wasome kwa vituo
Tatizo unadhani kila mtu ni mtaalamu wa kutumia simu kwani mkuu uwakala unatumia smart au kiswaswadu?
 
Hii stori imeteka hisia zangu!
 
Labda Itakuwa mmewe kamla mkeo so huenda alikuwa anasaka malipizo.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hapa, aliyeliwa kimasihara ni wewe..!!
 
wamezingua sana, bora wangeunganisha mwanzo
 
Anaemfahamu mkeo ndo safi mana atajua mipaka yake
 
Changamoto ni fursa
 
Nacheka kwa sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…