Kwa kuwa nilikuwa najua jamaa alipokuwa ameweka picha na watu walikuwa wamelala fofofo basi nikaenda kuichomoa na kuchukua zana yangu ya kazi (Vaseline) Haraka na kukimbilia vyoo vya humo humo ndani Bwenini.

Shule gani ya bweni ina vyoo humohumo bwenini???

Labda hizo private zenu. Nimesoma Govt Shule ya bweni hakuna kitu kama hicho

Pumba.afu
 
Usikulizwe. Una point ya msingi
 
Ni kweli mkuu ila Inaumiza sana maana wote tutafutikaa ila uzi utabakii..[emoji1787][emoji1787]
 
Daaaah πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyu bwana mdogo hana hekima hata moja. Huwa anafanya hivi kwenye threads zake nyingi na mara nyingi anachonganisha. Inawezekana ni malezi au ndio ana balehe kwa maana kwa mtu anayejitambua hawezi fanya hiki anachofanya kuexpose kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…