Sio siri shemeji kazingua kama vipi mchomee kwa sister tu. Ale na dada na beki 3, anategemea wewe ukale wapi mwanangu?
 
Wewe na shemeji yako, ni nani anaishi kwa mwenzie? Hicho chakula ulichokula kukupa nguvu za kutia, alinunia nani? Majibu ya maswali haya ni majibu ya swali lako.
 
Kosa la kwanza,kosa la kiitifaki....

Kuishi kwa shemeji Yako....

Inaonyesha ameku-degrade sana kukuambia "unaingia tu bila kupiga hodi" ....na umemkuta katika mazingira tata.

Amekushusha hadhi kwa kuwa unakula na kulala kwake...

Pili.... mwanaume anaejitambua hawezi kufanya huo ujinga...mf. nikukukute na demu...nikamwambia mkeo!? Ili iweje labda!?

Unataka kuvunja NDOA YENU!...Yes ...nimemaanisha NDOA YENU!....Maana mmeolewa wewe na dadaako!

Chunga sana maana maana akifukuzwa yeye...mmefukuzwa wote!
 
Hayo matusi. Uwe na luga ya kistaaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…