Samahani lakini sio kwa ubaya, ila kimasihara zote zinazohusisha kumchukua demu bar na pombe zikihusika huwa nahisi wanangu mmechukua mademu wanaojiuza.
 
Yupo hapo tbt alitukosanisha na mpenzi mpk tukaachana ila badae tulielewana, maana alikua anamtoroka anajileta alone.
Akampiga biti asinitafute kabisa ye yuko na mimi sasa uwongo.

Samahani lakini sio kwa ubaya, ila kimasihara zote zinazohusisha kumchukua demu bar na pombe zikihusika huwa nahisi wanangu mmechukua mademu wanaojiuza.
Wale walikua mabinti kabisa familia bora, kusema wajiuze nakataa.
Ilikua friday jioni tu na walikua wanaenda Coco kupunga upepo then kila mmoja aende kwao.
Walikua boarding mahali so kwenye kitimoto nilienda nao mwenyewe.
Wakaonja kidogo tu,
Na hata hizo pombe walikua sio wazoefu.
 

Duh Chai imekolea majani mpka imekuwa chungu
 

hahahahah[emoji23][emoji23] hatari mkuu
 

Chai
 
Posta kuna Daladala za kwenda Masaki siku hizi?
 

Chai yenye Sukari kiduchuuu
 

Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…