[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
35 plus umri wako wewe ni mstaafu
 
Wife alijichanganya akaleta dogo kisu ni kawa namvutia pumzi, kabla mipango haijakamilika dogo alizinguana na wife tukamtimua...alivyoondoka nikaja kujua majirani single dadaz flani walikua wanamfundisha anitege hivyo ningeingia tu mtaa mzima ungejuaa.
 
Aisee haya
 
Miaka ya ndoa 35..
Tuseme mlioana mkiwa na miaka 30 wewe na mke wako 23
Paka sasa wewe una miaka 65.
Na mke wako anamiaka 58
Na mke wake kazi zake ni za mbali miaka 58 mmmmh! na huyo mtoto anakuita baba sio babu kiasi cha kugusisha mwili wake na wako
Heeee!!!

Hence proved hiyo ni chai

Muamini Yesu Kristo kuwa Bwana wa maisha yako ili uzaliwe mara ya pili na kuwa kiumbe kipya
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tuombe:

Uje Roho Mtakatifu, tuangaze toka mbingu
Roho zetu kwa mwangao

Uje Baba wa maskini, uje mtoa wa vipaji
Uje mwanga wa mioyo

Ee Mfariji mwema sana, ee rafiki mwanana
Ewe raha mustarehe

Kwenye kazi u pumziko, kwenye joto, burudiko
U mfutaji wa machozi

Ewe mwanga wenye heri, uwajaze waamini
Neema yako mioyoni

Bila nguvu yako wewe, mwanadamu hana kitu
Kwake yote yana kosa

Osha machafuko yetu, panyeshee pakavu petu
Na kuponya majeraha

Ulegeze ukaidi, washa moto wa uadili
Nyoosha upotevu wote

Wape waumini wako, wenye tumaini kwako
Paji zako zote saba

Wape tuzo ya fadhila, wape mwisho bila hila
Wape heri ya milele

Amina aleluya, amina aleluya,
Amina aleluya
 
Vizazi vyao viko karibu sanaa, kuliko kitu chochote unachokijua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…