Toa location yako ili tumpitie na demu wako.
 
Hii ilishanitokea nilimpa manzi lifti nikiwa nadrive yeye alikuwa anaelekea kwa bwana ake yaani mme wake, so nolivyokuwa na drive akapenda kweli na akanipenda pale pale.
Baada ya hapo kilichofuata nikaenda ipiga na hatukuishia hapo tukaendelea kulana sana sana ila ni mzuri mazeee.
Ikafikia time akapata ujauzito na hapo hapo ndio mawasiliano yakapungua kbs mpaka leo hii yupo kwake salama salimini.
 
Mi nitakufa pia ila siwezi kushabikia kitu kinachotesa ndugu na jamaa mtaani wakati naona Kuna uwezekano wa kukiepuka, pia mkuu ukimwi ni tishio unatesa sana
Ah wapi wala hautesi siku hizi. Mie mbona ninao mwaka wa 16 na wala situmii arv. Ni mwendo wa lishe nzuri zoezi kwa wingi na kutomber 2min x 3 kusumisha afya tuu.
 
Wapenzi waaminifu hapwapo dunia ya sasa sii wanaume sii wanawake. Tena wanawake wanasambaza utelezi kwa upendo kabisa
 
upewe maua yako amigo...Kwamba kwasababu ya Corona, Kansa na marbug zinaua chap tu, ukauza mechi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mwanangu BAN inakuita
 

Hii chai sukari imekolea mpka imekuwa asali sasa duh
 
pokea maua yako Amigo umetisha
Pokea maua yako amigo umetisha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
hii sio kimasihara mkuu
 
Ah wapi wala hautesi siku hizi. Mie mbona ninao mwaka wa 16 na wala situmii arv. Ni mwendo wa lishe nzuri zoezi kwa wingi na kutomber 2min x 3 kusumisha afya tuu.
Subiri time yako ikifika utaona moto wake, utasumbua ndugu zako kukupeleka kukuanika juani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…