Mzee unamjua tekla na Hellen? Na rafiki yao Lizzie? Vwawa hapo

Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
 
Mzee unamjua tekla na Hellen? Na rafiki yao Lizzie? Vwawa hapo

Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
Tekla si ndio yule dada mwenye ile pub inaitwa kwa Tekla au sahvi Indoor, ipo kati pale kwenye ile barabara inayotokea kona ya mkoa? Ipo karibu na Appex bar. Kama unamuongelea Tekla huyo namfahamu na ananifahamu pia, nikiendaga Vwawa huwa ni mteja mzuri pale coz ni moja kati ya pub zenye amsha amsha sana Vwawa. Lizzie na Hellen hao sijawahi kukutana nao
 
Tekla Mwanangu sana sana..... Mpambanaji wa kweli meanwhile kazaa na mwanetu...... Ana rafiki yako huyo Hellen mweupe muda mwingi wako wote.....

Wapeleke pia wahuni Kona ya mkoa.....

Ila vwawa..mlowo... Tunduma.... Siyo salama sana

Nimesoma kidato cha sita Mwl Nyerere Tunduma

Home vwawa hapo..... Nikimalizia code wahuni watanijua

Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kule sio salama kabisa. Tahadhari muhimu. Kule huwa naenda kupiga kazi flani hivi kwa wiki moja au zikizidi mbili. Nikiwa kwenye kazi za field huwa sio mtu wa kujifungia lodge, ndo maana kila nnapoenda lazima nijue machaka yote ya kibaharia na kua na connections za kutosha.Tekla hana baya, ndo maana nikiwa kule lazima nikaripoti pale kwenye pub yake. Pale kona ya mkoa kuna balaa pia. Kwa Vwawa napaelewa pia Silent pub na kwa Uria kule chini karibu na stand
 
Kama ni mtu wa mitungi ni maeneo sahihi sana

Hukosi kampani

Utakunywa pombe hata Kama huna pesa

Vijana wa pale ni Bata from Monday to Monday nadhani Hali ya hewa inachangia pia

Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
 
Kama ni mtu wa mitungi ni maeneo sahihi sana

Hukosi kampani

Utakunywa pombe hata Kama huna pesa

Vijana wa pale ni Bata from Monday to Monday nadhani Hali ya hewa inachangia pia

Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
Uko sahihi mkuu. Kuhusu maambukizi kua juu sana pande zile nadhani ni kwa sababu ni sehemu ambayo sio kubwa sana, so ni rahisi kua na kamuingiliano na kamzunguko flani hivi
 
Next time nikirudi tena Vwawa au Tunduma ntakucheki pm mkuu. Bila shaka bado una connections za kutosha pande zile[emoji2]
Me ligendi mkuu though nastaafu sasa.....

Darasa la Vwawa day 2010 hawataki hata kunisikia nilichakaza nusu ya darasa nikiwa mdogo sana....[emoji3][emoji3] Tutahookup mzee..... Hatuwezi kosa pisi mbili tatu

Ulifika masaki carnival? Iko sheli ya chaula kwa nyuma?

Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
 
😅Nakubali mkuu. I'm sure ntarudi tena kule miezi michache ijayo. Hapo Masaki Carnival sijawahi kabisa hata kupaskia. Sehemu nkiwa mgeni huwa napenda kudeal na bodaboda, hawajawahi kabisa kunipeleka hapo
 
Hakuna anayeuza chochote hapa....

Waulize wahuni kama Kuna mtu kauziwa namba!! Hizi tunasambaziana Upendo Bure.. watu wakale huko.

Na Of course hujazuiwa kuleta kimasihara. Kama ipo we leta Mkuu, acha mbambamba
Tupe mrejesho
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…