duh
 
Aisee
 
Punguza genye utakuja kufariki ulimwengu
 
Haya mambo bwana...

Mwaka 2015 hiv ka sikosei nikiwa supervisor wa site moja na system administrator ktk kampun moja ya telecom iliyopata tender flan ya kusuka mfumo ktk taasis flan ya serikali nyanda flan ya ziwa

Basi bhana niko server room sina hili wa lile, kama mnavyoelewa mara zote server room sheria inabid iwe full AC yan ubarid uwe wa hali ya juu sana ili mashine zinazocheza na data ziwe katika hali ya kupoa mda wote,

Basi wana nimekaa, ofis yangu kuingia ilikua inabid upite milango miwili yan mlango wa kwanza ukipita unakuta meza poz flan la kama secretary ingawa sikua nae, mlango wa pili ni mlango ambao kuta yake ni kioo tinted mi naona nje yan naona ile sehem ya secretary ila mtu akiwa pale hawez niona ni tinted ile ya rang ya silver yan wa nje unajiona wewe tu ka kioo ila mi nakuchora vizuri sana

Sasa kawaida ya mimi mara zote huwa niko mkimya na kipind hiko katika huo mkoa nilikua mgen kikaz, kwa ukimya wangu mwingi nilikua natafsiriwa kama mpole ila kiukweli nilikua nafujo zangu kichwani nyingi tu lkn sio mtu wa kujiachia mbele za watu hasa eneo la kazi

Basi katika u cool wangu ule na ukimya ukimya wana walikua wanantania sana sababu nilikua sina zile itikadi za uboss yan haijalish uko level gan kiofis mi nilikua social ila tu wa ndani chin chin na kujimix mix ktk kila idara so nkajikutaga tu naitwa mtu wa watu staff yeyote alikua na uwezo wa kunitania.

Sasa bhana asubuhi moja hali ya hewa nje ilikua wingu zito sana niko zangu ofisin(server room) nahangaika na mareport nikastuka binti mmoja kaingia ndani mule yan kama kwa maelekezo ila sasa ingia yake hakujua kama kuna mlango mwingine wa pili ya mgen yyte akiingia tu kile kieneo cha secretary huwa ni ngum kuona mlango mwingine wa kioo maana kwa haraka unaona tu ukuta mzima kioo tu kuna partion flan ya mlango wa kawaida ambao nao ni kioo aluminium flem ile,

Basi yule dada katimba pale ndani mi namchora tu niko upande wa pili wa ile office tumetenganishwa na kioo kikubwa sana na akawa kama kuna mtu kaambiwa amuone ndani naye bila kujua mlango wa pili ulipo kabak kaduwaa anajiona mwenyewe,

Sasa na namtathmin maana ni mrefu na tako moja refu la kuanguka hivi mi sio mzuri wa kutoa tathmin ila kifup kwa wenzangu nami wapenda mikia pale wasingechomoka maana ni mkia mmoja usio wa kawaida spicy za kumwagika sura sio mbaya lakin sio mzuri kawaida, tumbo hana result kiuno nyigu

Akiwa anashangaa, akaja mkaguz mmoja wa kiume ambae tuna utan nae flan flan na kumbe alimtreak yule dada kama kuna shida ktk doc' zake hawezi kuendelea mbele hivyo aje kwangu nimsaidie ilikua ni basi ili wanionyeshe ule mzigo palikua na ujinga ujinga huo, utani utani maana walikua wanapenda kunipambanisha na wasichana na kifupi yule dada hakukua na tatizo lolote katika paper yake

Basi jamaa nae akaja maana manzi yule aliomba msaada nje kua mbona ndan hamna mtu, jamaa kuja akaita naitika ye ndio akafungua mlango wa kioo tupu ule wa ndan sasa maana dada alinasa sehem ya secretary, jamaa kufungua akijifanya ana adabu mnoo hadi manzi nilikua naona anakitete kabisa wakaingia kwangu

Basi bwana, office yangu ilikua iko kamili yan kibabe hasa kwa kweli haikulingana na mshahara halali ukiachana na makando kando, offic ilikua kali sanaa kias kwamba yeyote atakaeingia hata awe nani lazima akae kwa nidham maana nilikua nacoordinate kila kitu so mitambo yote nilikua naisomea ndani

Basi turud kwa manzi yenye body na ugonjwa wake mabaharia nyuma akiwa na mkaguz mkaguz kwa adabu uku akijifanya kama mkali kwa yule dada ili tu kumtisha jamaa ananiita chief heb kagua hii doc' tukiipitisha kwa system kule hatuion na tunamwambia haelewi, hapo dada anatetemeka maana mule ndan hakutegemea na kisheria hakutakiwa kuingia, basi kucheka nilishindwa maana ukicheka sasa itakua skendo sijui lbda angejua kapotezewa mda

Jamaa kanipa ile doc nami nikakaza sikucheka jamaa kamawambia haya dada baki hapa wa kukusaidia ni huyu sisi hatuwez nkasema Mungu wangu! Huyu jamaa daah!!

Sikua na mood ya kumteka yule manzi so nilizuga tu kama naikagua ili asistuke na kumwambia nenda nayo kampe tena, sasa bhana wakat anatoka nyiee nyiee nyieee ule mgongo daaaah nilijikuta ka nimeganda hiv kumuwahi tena siwez nje watu wengi jau kumwita tena itaonekana tena ka tunamzingua nikaishia kumsindikiza kwenye camera maana office yangu pia ilikua nna uwezo wa kuchek maeneo yote yaan ni CCTV camera kibao zilikuepo, nkawaza ule mkia mbona sio wa kawaida

Wakat nawaza ghafla jamaa yule karud nae tena nkasema leo, bas jamaa akaniambia tena chief huyu dada bhana nje kuna mvua na alivyovaa anaomba msaada wa koti, na kiukwel umbo na alivaa sket flan ka ya mpira hiv imemshika naona akawaza na lile tako ingekua kama kasaula tu barabaran maana mvua ilikua imeanza kushuka na kubwa

Jamaa kumuombea koti wote wakiwa wananitizama, kwa haraka nikawachomolea maana nilikua nimevaa koti la suti jeus, lakin pia nilikua na koti la ngoz la brown nimelivisha kwenye kiti cha kuzunguka yan kile nilichokalia nkakataa basi jamaa na ile shughuli wakatoka ila nilijiwazia haraka nkaona hiv kwann nimnyime wakat amaesema atarudisha alaf mi niko ndan yan hata mvua sijui kama ipo nje

Ghafla nikajikuta nimetoka nje bila kumwambia yule jamaa aliekuja kumuombea, maana niliona kupitia CCTV camera alikoenda kukaa yule bi dada na wenzie nilimfata alistuka maana alishaniogopa toka ndani ofisin so sikua na maneno mengi ni oya shika hili koti make sure ukirud unaniletea maana ilikua kama border flan nikampa na # ya sim

Bas bhana kavuka kaenda alikoenda, siku moja usiku saa tatu flan siko offisin nastuka napigiwa sim kupokea kajitambulia mimi flan naomba nikurudishie koti lako ndio nakaribia offisin kwako nkaona eeh! Japo sikua nakaa mbali na office ila hio mida nilikua tyr gheto na mambo mengi!

Basi nikajivuta chap nashuka eneo la office nilikua nimefunga ingawa nje watoa huduma walikuepo kama kawaida, polisi n.k nyt sasa giza nakuta bi dada yuko pekeake kajitenga kumsogelea ni yeye hapo hapo kaanza kunilalamikia kua nimechelewa hadi bus lake limeondoka na kiukweli kwa ile tym hakukua na gari yyte ya abiria tena zaid ya malori ni usiku nikabak nalalamikiwa pale njian

Jama itaendelea
 
We nae umeelekea wap jmn
 
hii umejitumia meseji mkuu
 
Kimasihala ilishaga niponza kwakupewa kesi ya ubakaji aisee yani kesi nilipoisolve niliapa sili tena kimasihala
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mzungu ananukaje k??

Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh....

Neno Chato limenikumbusha mbali saanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia naona ni matatizo ya akili, unaanzaje kunanii uchafu huo, watu wana matatizo saana. Wanafikiri ni ujanja kumbe ni ujinga tuu.

Kilicho cha ujinga Kwako ulazimishwi kufanya bro na Acha kupanic huku una uhakka gani wa ubavu wako aliwi kinyeo?
 
Hahaha 😂😂🤣😂🤣 ngoja nipoteze mawazo ya mikeka huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…