Hizo prep zinapatikana pharmacy za mtaani?
No nenda Hospitali hasa kama inahuduma ya kitengo cha CTC ila hadi upewe uwe unejipanga haswaa kuna hatua utapitia na maswali kadhaa mkuu

Kila la kheri
 
No nenda Hospitali hasa kama inahuduma ya kitengo cha CTC ila hadi upewe uwe unejipanga haswaa kuna hatua utapitia na maswali kadhaa mkuu

Kila la kheri
Toa desa la maswali basi,tusije kufa kwa kifaduro
 
Hizi natumiaje!?
Kwanza sizani kama kuna tofauti kati ya PreP na PEP tofauti ni kuwa PreP zenyewe hupewa kwa Discordant Couple mmoja anakuwa na maambukizi mwingine hana either ME ni +Ve afu KE ni -Ve au kinyume chake na utakunywa maisha yako yote lengo ni kukulinda usipate maambukizi na utakula daily mbususu ila PEP hupewa wale tunaokuwa exposed na maambukizi utameza siku 30 tu
 
hao malaya ungetomba hata bure.
 
Mwanangu nipe connection ya hizo prep nikae nazo ndani, kiukweli kwenda kituo cha afya ni changamoto hasa maswali yao
 
[emoji28][emoji1787]famasikhara nn
 
No nenda Hospitali hasa kama inahuduma ya kitengo cha CTC ila hadi upewe uwe unejipanga haswaa kuna hatua utapitia na maswali kadhaa mkuu

Kila la kheri
Upatikanaj wa PrEP ni rahis mno kuliko PEP, PrEP mara nyng hua wanayagawa bure tena sometimes hua wanatafuta watu wa kuwapa
 
Tofaut ipo
Na tofaut ya kwanz ni hyo ulioitaja
Tofaut ya pili ipo kweny dawa zenyew ni dawa mbil tofaut na hazifanan japo kuna mchanganyiko baadh zote zinao
 
ulijuaje anatoa mtandao pendwa mzee???
 
Una uandishi flani shirikishi na msomaji ambao unanivunja sana mbavu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…