Ulishawahi kula tunda kimasihara?
ni kwamba
Hamna kitu inaitwa kimasihara

We huwezi toka unakotoka ukaja kwangu bila taarifa. Na ufike utake ninyandua. Nikikubali hapo ndio kimasihara.. ila nikigoma ukalazimishia ni ubakaji.

Mtu tunawasiliana
Tunaenda out for dinner/ lunch
Kisha unambie sijui twende kwangu
Nikubali
Hapo nakuwa nishajua unataka nn.. na mimi nakuwa naongozwa na interest/ nishakuzimikia kimtindo.
So tutaishia pa kuishia.. nyie ndo mnaita kimasihara?
Kimasihara gani sasa hiyo
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Swadakta mtaalamu
 
ni kwamba
Hamna kitu inaitwa kimasihara

We huwezi toka unakotoka ukaja kwangu bila taarifa. Na ufike utake ninyandua. Nikikubali hapo ndio kimasihara.. ila nikigoma ukalazimishia ni ubakaji.

Mtu tunawasiliana
Tunaenda out for dinner/ lunch
Kisha unambie sijui twende kwangu
Nikubali
Hapo nakuwa nishajua unataka nn.. na mimi nakuwa naongozwa na interest/ nishakuzimikia kimtindo.
So tutaishia pa kuishia.. nyie ndo mnaita kimasihara?
Kimasihara gani sasa hiyo
Soma visa uelewe usiongelee hisia zako mkuu, kimasihara tunakula tena vzuri tu kwa kustukiza.
 
Hv jaman naona shuhuda za wanaokula kimasihara....wanaoliwaje???
Please we wish kufaham na nyie ilkuaje yaaaani
 
Nipo nimempeleka jamaa yangu Lodge flan ivi mitaa ya tmk ..kufika reception kuna demu pisi kali sana..jamaa yangu kashazama room na manzi yake niko hapa na huyu demu wa reception .Gafla nikakumbuka huu uzi wa kula kimasihara mpaka sasa naona nnaongoza kwa 70% lazima nimtafune..
Mission ikikamilika ntaleta mrejesho.
Hii sio kimasihara tena
 
Huu uzi nimeanza kuupa heshima ya pekee sana.
Leo mchana nimekaa room napitia Kimasihara za wakubwa humu, nikapata mzuka wa hatar, nikamuita wife chumban nikachapa kimoja.
Asanten sana kwa uzi huu.
N.B
Ukisoma uzi huu unaweza kusaidia kuamsha vilivyo lala
Kwa hyo na wewe ukapata masihara Yako.
Lete story yake vzur wife alikuwa wapi na wewe ulimdanganya VP Hadi ukapata masihara ya wife

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi nimeanza kuupa heshima ya pekee sana.
Leo mchana nimekaa room napitia Kimasihara za wakubwa humu, nikapata mzuka wa hatar, nikamuita wife chumban nikachapa kimoja.
Asanten sana kwa uzi huu.
N.B
Ukisoma uzi huu unaweza kusaidia kuamsha vilivyo lala
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
ni kwamba
Hamna kitu inaitwa kimasihara

We huwezi toka unakotoka ukaja kwangu bila taarifa. Na ufike utake ninyandua. Nikikubali hapo ndio kimasihara.. ila nikigoma ukalazimishia ni ubakaji.

Mtu tunawasiliana
Tunaenda out for dinner/ lunch
Kisha unambie sijui twende kwangu
Nikubali
Hapo nakuwa nishajua unataka nn.. na mimi nakuwa naongozwa na interest/ nishakuzimikia kimtindo.
So tutaishia pa kuishia.. nyie ndo mnaita kimasihara?
Kimasihara gani sasa hiyo
Kila siku mie nasema kimasikhara ni ubakajii.

Ila hii ya kuchat na kupigiana cm, aaaah interest tyuh.
 
Back
Top Bottom