valdez
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 309
- 413
s
sio annet huyo kwel?Mwaka 2015 mwezi wa 9 nilienda Mtwara kikazi na nilikaa siku 8. Hotel niliyokuwa nimefikia kulikuwa na dada mmoja alikuwa mzuri sana wa sura na umbo age around 26-28 nae alikuwa mgeni chumba cha tatu kutoka nilipo fikia mie.
Nakumbuka mie naingia room kwa mara ya kwanza na yeye ndio anatoka room kwakwe kwenda nje. Ilikuwa jioni ya Jumapili baada ya kushuka zangu kutoka Dar na Buti la Zungu kama kawaida. Nje wakati naingia kuna jamaa mmoja alikuwa amekaa kwenye round table moja hivi ambaye niliimark sura vizuri sana japo yeye alikuwa busy na mambo yake.
Kumbe yule jamaa ndio mshikaji wake yule dada na niligundua hilo baada ya mimi kutoka nje na kuwaona wamekaa wote wanaendelea na yao. Yule jamaa walilala wote room mpaka kesho na hilo niligundua asubuhi wakati namuona jamaa kwa mbali ndio anaondoka nikajisemea tu moyoni jamaa anafaidi sana.
Ebanaa naenda kazini paliponipeleka nakutana na yule mshikaji na hakuna aliyekuwa ananifahamu kwakuwa kile kituo ndio ilikuwa mara ya kwanza kwenda kufanya ile kazi ambayo ilinipeleka. Hapo ndio nikagundua yule jamaa ni mwenyeji Mtwara na yule dem either ni mgeni au nae mwenyeji. Basi ilivyo fika saa 9 nikaaga kwenda Hotelini kwakuwa program yangu ya siku ilikuwa imeisha.
Kufika Hotelini nakutana na yule dada amekaa nje wanapiga story na receptionist. Muhudumu akanyanyuka kwenda kunipa funguo huku salaam nikiwapa kwa wote. Yule dada akawa amebaki pale na soda yake anakunywa. Baada ya kupewa funguo yule muhudumu alichelewa kidogo kutoka nami nikatoka nje nikaenda kwa yule dada nikamwambia karibu room namba 8 akacheka akasema asante nami nikaondoka zangu room.
Hakuna zaidi ya maongezi hayo ambayo tuliongea na ilikuwa ni Masihara fulani. Nimefika room funga mlango nikajimwagia maji nikatulia zangu huku na TV na simu nafuatilia ya duniani mara nasikia mlango unagongwa. Kufungua mlango nakutana na yule dada nikamkaribisha.
Basi akakaa kwenye kiti pale tukaongea zaidi ilikuwa ni kufahamiana na akadai ametokea kaskazini na ndiko anafanyia kazi ila pale amekuja kwa jamaa yake ambae ndio yule staff. Namuuliza mbona hujaenda kwakwe sasa anasema kaoa, sasa kama kaoa mbona kalala huku akasema ameaga amesafiri kwa wiki moja kuanzia jana (nikajisemea huyu ni m..laya kafuata pesa tu hamna lolote). Hata hivyo sikuendelea kumhoji sana kwakuwa sikuona haja sana.
Nikamsifia uzuri wake pale nikamuomba na gem kabisa.. ohh mwenzangu atakuja sasa hivi tu nikamwambia nimemuacha kazini nae akaanza kushangaa nimefikaje huko na nikamuelezea kidogo ilivyo. Nilikomaa na touches za hapa na pale akaomba apige simu ili ajue jamaa yupo wapi. Mshikaji alivyopigiwa simu akasema mpaka saa 12 ndio nakuja.
Baada ya kusikia hivyo nikachukua zana kabisa (huwa siuzi match za ugenini) nikapiga viwili saafi huku anawasiwasi jamaa asije mkuta then akaenda room. Yule jamaa yeye akaja mida ya saa 1 kasoro jioni wakati huo niliisha maliza kitambo.
Ile kazi nilifanya kwa wiki 1 na baada ya hapo kila nikirudi jioni napewa kimoja na yule dem mpaka tukaondoka wote yeye anaenda Dar mie nikashukia Lindi ila gari tofauti. Yule jamaa siku ya pili aligundua nami nimefika ile Hotel but kazini tena alikuwa mshikaji sana na alipiga story sana za yule dem wake kwakuwa alijua nimejua mahusiano yao. Kumbe jamaa analala naye usiku mie napiga mida ya saa 10 jioni mpaka naondoka.
Ila wanawake acha kabisa baada ya hapo sijawahi kuwasiliana naye kabisa mpaka leo japo tulipeana namba.