Kama wale wanaoremba ETI ANAUMWA UTI SUGU, WAKATI NI GONO TU SHENZEEE
Mkuu hapo sasa umekosea isitumie hasira kwenye afya za watu
UTI ni urinary tract infections [ malazi ya kwenye njia ya mkojo] sasa kuna variety nyingi za magonjwa hayo [ pid, tv nk]

Sasa yapo magojwa ya kingono STI'S [ gono , Chlamydia nk. Sasa wanawake wengi sana wanasumbuliwa na Fungus mkuu na huyo TV [ trichomonas vaginalis]

Ndio ile harufu mbaya toka ukeni pia wanatokwaga na discharge kama madonge donge au maziwa flani hivi ambayo nyie ndio munaita GONO kiukweli muna waonea hivi vitu vinatibika kikubwa waondoeni hofu ila sio kuwa sabbortage down kama hivyo sio fair
 
Uanzishe maisha na mtu kisa viuno hahaha
Can't be serious men[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uzi mzur sana
 
Rikiboy nikikukuta peponi naanzisha maandamano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye Uzi wake katoa mbinu mpya kwa vijana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Binafs niliwai kula mtu kitapeli san nilijiita afsa tawala wilay ya mkalama yule dada alinikuta mitaa ya ofisi ya mkuu wa willaya ya manyoni anaitwa mh rahabu Kisha siku zingine tukakutana mkalama nikamfananisha na nayey akasema ameniona sijui manyoni bas bila kunioji Sana akaniuliza huku una mishe gani nikamwambia niko na Kazi za kiserkali imeniletaga huko manyoni.

Yeye akanimbia yey Ni mfanyabiashara anakwenda kuonana na mkurugenzi Kisha ataenda mjini nikamwabia bas anipe lift Kwan gar yetu ya ofcn imearibika bila Shaka akasema hkn shida nimsubiri kidg amuone mkurugenzi dakik chake huyu Hap.

Chap nikapanda mbele hao Hadi mjini sikufika hata mbali yule mtaturu alikuwa mwepes Sana naanza kumshika paja akatuliaa aksema nitulie bass.

Nikamuomba kuwa tupitie hata sehemu tupate vinywaji akasema sehemu gani nikamwambia twende had town mnk saa tisa ninarud ofisini kwani Nina kikao na mkuu wa willaya ..

Nilimleta had tanesco huko substation njia ya dar. Singda Kuna lodg nyingi kwani alinimbia anafahamika San hvyo tuzogee nnje ya mjini ndiko nikampeleka huko njia ya dar .

Tukafanikiwa kupata lodge na iko sehemu nzuri bas akasema hajala chochote acha aagize supu ya kuku ikaletwa nusu mbili jumla elf 16 na vinywaji jumla Kama 25 HV nikamuambia alipie tukitoka hpa tuende bank nitoe pesa nitampatia bila hiyana.

Mwanamke alivuta 30 kapeana jikoni na mm kuingiliwa 20 tu ya lodge nimemchakata had saa kumi demu yule ni mtaalamu wa Mike vibaya mnoo kwa kifupi anajuwa haswa nilikolewa Sana ..... kwani Kuna saa nilimpanga mwnangu mmoja ambaye nilimtext msg kuwa nakupigia simu nikuombe uniwakilishe kweny kikao Cha mkuu wa willya kwani nimepata dharura jamaa alinielewa faster so tukaendelea na mechi yetu kwani

Mwanamke alishajihakikishi kuwa mm Ni mtumishi wa wilaya hiyo hvyo Hana wasiwasi Tena alisema alikuwenda kufatilia hati zake za mashamba yaliko kule. Mm ndio kwanza naenda kutafuta alizeti za kulanguwa kwa wakulima.

Mwanmke yule anapenda kula kula Sana akaagiza Tena chakula safarii hii ilikuja kuku makange tukapiga kuku mzima huku akijuwa kuwa nitaenda kumrudishiaa hela zake ilifika saa moja tukaoga fresh na Kisha tukusepa kueleke ilipo ATM au bank ya nmb tukaenda had pale nmb singida branch nikamwambi atafute parking ili nishuke nikatoe pesa kumbuka Hapo hata hana namba zangu na mm Zina namba zake nilipo shuka tu nikajifanya naeleke usawa wa geteni nmb pale chapu nikakamata ile njia ya kwenda gereji za Hapo nyuma ya nmb huyo Nikatokomea kusiko julikanaa ...........nikamuacha ananisubiriaa [emoji23]



Nb
Siku moja nitaeleza alivyo nibamba ktk mgahwa wa mam claree hap Hap singidaa muda ule alikuwa na bwana ake ..nitaeleze jinsi tulivyokutana siku nyingine na namna gani nimemaliza mzala na yey .nikaomba msa


Sent from my iPhone 13 German technology
 
Hahahahah haki ya mungu huyo dada alitamani akugonge na gari
 
Dah jamaa nimecheka sana...kama vile nakuona unavyotokomea kusikojulikana ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…