Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 867
- 1,226
Mkuu hapo sasa umekosea isitumie hasira kwenye afya za watuKama wale wanaoremba ETI ANAUMWA UTI SUGU, WAKATI NI GONO TU SHENZEEE
UTI ni urinary tract infections [ malazi ya kwenye njia ya mkojo] sasa kuna variety nyingi za magonjwa hayo [ pid, tv nk]
Sasa yapo magojwa ya kingono STI'S [ gono , Chlamydia nk. Sasa wanawake wengi sana wanasumbuliwa na Fungus mkuu na huyo TV [ trichomonas vaginalis]
Ndio ile harufu mbaya toka ukeni pia wanatokwaga na discharge kama madonge donge au maziwa flani hivi ambayo nyie ndio munaita GONO kiukweli muna waonea hivi vitu vinatibika kikubwa waondoeni hofu ila sio kuwa sabbortage down kama hivyo sio fair